Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
IMG-20111029-009101.jpg
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima
 
wasanii wetu ni wajinga pesa wanazopata wanaendekeza starehe bila kuwaza kufanya mambo ya maendeleo
 
ila tambua kuwa Prof J ni mtaalam wa IT ana Diploma yake,na kabla ya mziki nadhani alikuwa Tanga kikazi,so ni mtu ambae anamaono ya mbali sana maana kama mziki ungekuwa ndio chanzo cha mapato pekee basi mtu kama feroozi angekuwa mbali sana,lakini nasikia kauza hadi Gari kabaki mweupe

unaweza ukawa na pesa lakini usiwaze kujenga wala kununua magari ukafikilia kuvaa mashati ya Hongkong na kujirusha kwa kutaka kuwakoga watu

Hongera mkuu
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

ukuta huna hata kibanda,kazi kuponda tu...nzuri crib yake...
 
images
2Q==
9k=
2Q==
Z
2Q==

http://4.bp.blogspot.com/-wK-0ZDW32...eleone+Uganda+Millionaires+richest+people.jpgJose Chameleone - The Bayuda Star is filthy rich! he has been on the social scene for over ten years and has amassed wealth. He recently imported a Cadillac Escalade worth over Shs 200million. He also owns a Mercedes c, a Super Custom, a convertible and a Premio. He owns a state of art mansion on Seguku hill. He also owns exotic dogs at home. He also owns a house in Arizona in the United States and recently bought a house in Kigali. He has a singing group, Leaone Island and a recording studio. He is signed to Nile Breweries. Estimated fortune: Shs 2.5Bn

Born Joseph Mayanja, Chameleone is known for his stimulating live performances, and is revered as one of East Africa’s most versatile, creative and crowd-pleasing artists. He is frequently in demand regionally and internationally. Chameleone has been nominated for Kora Awards, Golden Awards, MOBO Awards and has won two PAM (Pearl of Africa) Awards for Best Afro Beat Artist and Best Afro Beat Single for Kipepeo as well as winning Best Video, Uganda and Best Song, for Mama Rhoda, at the Kisima Music Awards in Kenya.And now A MTV EMA AWARD nominee! Chameleone’s musical style is a combination of Ugandan folk music, central African rumba, zouk and ragga. His first album was released in Kenya in 1999. He has since released several albums including “Bageya” in 2000, “Mama Mia” in 2001, “Njo Karibu” in 2002, “The Golden Voice” in 2003, “Mambo Bado”, in 2004 and “Kipepo” in 2005. Chameleone’s biggest hits include Jamila, Mama Rhoda, Shida za Dunia, Kipepeo, Bei Kali, Fitina Yako, Mama Mia,SivyoNdivyo He is a member of the Musician’s Community, a coalition of musicians who use their fame and fortune to help eradicate poverty and create HIV/AIDS awareness campaigns. However, despite all the negative media speculation in East Africa, Chameleone has been continuing to perform and produce new music in the USA, UK, Canada, Sweden and Denmark during the past year and his international career looks firmly set to shine bright for many years to come.

ukuta huna hata kibanda,kazi kuponda tu...nzuri crib yake...

Nini kibanda ww hiyonyumba haiendani na ukongwe wake i think hata daimond atakuwa na nyumba nzuri mm sina maisha ya dhiki kama hayo angalia wasanii wa uganda wanaishi maisha gani
 
Donge tu linawasumbua yaani mswahili akipata ****** hulia mbwata!!
 
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

hivi kunywa hizi bia za serengeti na disco la bill's ndo unaona ni kuponda raha?. wenzako wanakodi ndege kutoka bara moja na kupumzika bara lingine. Mia
 
Mtu mkubwa kama J hapaswi kua na gari kama hizo, si angekuwa na kamoja tu hata ka bmw 3 series rather than hizo hapo nje au hizo kanunulia mabeki tatu nini?
 
wasanii wetu ni wajinga pesa wanazopata wanaendekeza starehe bila kuwaza kufanya mambo ya maendeleo

kipato chao kidogo...kwa mfano..onyesho kama FIESTA prof Jize ANAZUNGUKA MIKOA ZAIDI YA KUMI..LAKINI ANAVYOLIPWA!

ONLY GOD KNOWS...SUGU ALISEMA HV..NANUKUU (WATU WANASEMA KUWA WASANII HAWAENDELEI KWA SABABU WANAPENDA STAREHE SANA..JE? MSANII ANGETOA ALBAM THEN AKALIPWA M500 ATAWELEWEA YOTE? ANAWEZA KUNYWA BIA ZA M500?) HAPO INAONYESHA DHAHIRI SANAA YA BONGO NI NGUMU..KWA MAPATO YA MUZIKI PROF JIZE ANGEKUWA NA VINYUMBA NA VIGARI KAMA HIVYO MARA MIA! NYUMBA MOJA UNAJENGA MIAKA KUMI? HALAFU UNAJIPONGEZA WAKATI KWA KIPAJI CHAKO NYUMBA HIYO UNGEJENGA KWA MIEZI MIWILI? CLOUDS FM WALIOKUWA WADAU WAKUU WA WANAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA MNA KESI YA KUJIBU!!!!!
 
hapo kwa kweli kibongo bongo wanga wengi kajitahidi sana tu,nature kiroboto na mwana wa kahena nawakumbuka ila sidhani hata km wamefika hapo.
ingawa prof jay kajitahidi ila tukimfananisha na chameleon tunachemka,jay kaachwa mbali saaaana kimapato na kiusanii
 
Back
Top Bottom