Ngoma ya Way back humu ndani Jay Moe kaonyesha umwamba sana

Japo wimbo sijausikia ila Jay Moe ni one the best rappers kuwai kutokea hapa East Africa. Yupo kwenye top 5 ya GOATS
 
Nimejaribu kuipandisha imegoma search hata google mkuu ngoma inaitwa way back country Wizzy ft Jay Moe.
 
Back
Top Bottom