CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni
BENKI ya CRDB imekiri kuichukuwa Shule ya Sekondari ya Mkandawile kwa kufidia mkopo wake walioutoa kwa mmiliki wa shule hiyo.

Ofisa uhusiano wa benki hiyo aliyejulikana kwa jina la Manel alisema shule hiyo kwa sasa ipo chini ya benki ya CRDB, lakini hawezi kuongelea lolote kuhusu shule hiyo kwa sababu taratibu zote ziko chini ya Bodi ya wakurugenzi.

Inadaiwa mmiliki wa shule hiyo anadaiwa zaidi ya Sh 500 milioni.
“Siwezi kuongelea chochote kile kuhusu suala la Shule ya Mkandawile kwa sababu mkurugenzi mkuu hajazungumzia lolote kuhusiana na shule hiyo,”alisema Manel.

Shule ya Mkandawile iliyopo Majohe, Kata ya Chanika Wilaya ya Ilala ilichukuliwa na Benki ya CRDB tangu Oktoba mwaka jana, ambapo wanafunzi pamoja na walimu waliachwa kuachwa njiapanda bila ya kujua la kufanya.

Hii ni wiki ya tatu sasa, baadhi ya walimu wa shule hiyo walihamishia makazi yao kwa aliyekuwa mmiliki wa shule Alfan Mkandawile ambaye naye baada ya shule hiyo kutokuwa mikononi mwake aliamua kutokomea kusikojulikana.

Walimu wa shule hiyo, akiwemo Kaimu Mkuu wa Shule, Michael Sigore kwa nyakati tofauti walilidokeza gazeti hili kuwa wamdai kiongozi wa shule mishahara ya miezi saba na kwamba wenye nyumba walikopanga wamewafukuza ndio maana wamehamishia familia zao kwa Mkandawile

Huyu mkandawile alikuwa mwalimu mzuri wa chemistry form V na VI, na wakati anazisha hii shule ilikuwa nzuri sana, na sijuhi kwanini ameshindwa kulipa hili deni.
 
Mikopo katika benki za Tanzania ni shughuli pevu, maderni yana riba kubwa mno
 
.....this guy was a very good Chemistry teacher........! I remember those old days kule Pugu na Tambaza alikuwa anawajaza vijana kwelikweli aisee....!
 
Duh, ngombe wa maskini hazai! Huyu Mkandawile alihangaika sana kuipata hiyo shule, alikuwa anfundisha tuition ya Chemistry usiku na mchana! Yaelekea alikosa tu elimu ya ujasiriamali
 
mwalimu na mikopo ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndio kazi yao,,,,wanaaminika sana na benki,,,na wakopeshaji wa mitaani mwisho wake ndio huo
 
  • Rates kubwa za mabenk yetu,
  • Elimu ya ujasiliamali kutotolewa kwa wakopaji
  • bank nyingi kutowaelimisha wakopaji kabla ya kuwapa mikopo.
Pole mkandawile, hiyo ndo mikopo, na hapa pia CRDB wamechangia sana COZ wanamtindo wa kuwakopesha watu kiwango kikubwa sana cha pesa bila kuangalia RISK ya hiyo biashara, kuna kipindi waliwakopesha vyama vya msingi na makampuni yanayohusika na kununua na kuhuza pamba kanda ya ziwa, mabilioni ya fedha na kulivyotokea mtikisiko wa kiuchumi dunia, ilibidi crdb wamtume moja ya wafanyakazi wao China, kwenda kutafuta masoko, kwa ajili ya pamba, na kilichokuja kuwaokoa ni JK kukubali kuwapa fedha kwa hiyo HARASA walioingia.
 
.....this guy was a very good Chemistry teacher........! I remember those old days kule Pugu na Tambaza alikuwa anawajaza vijana kwelikweli aisee....!

Yes I rem him too, he was brilliant Teacher, poor him!! I feel very sorry for him, hope things will finally work out in his favour!
 
Basi Benki Wamuajiri Huyo Mkandawire kuiendesha hiyo shule, Badala ya kuwakatili wananfunzi waliokuwa wakisoma hapo.
 
CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni
BENKI ya CRDB imekiri kuichukuwa Shule ya Sekondari ya Mkandawile kwa kufidia mkopo wake walioutoa kwa mmiliki wa shule hiyo.

Ofisa uhusiano wa benki hiyo aliyejulikana kwa jina la Manel alisema shule hiyo kwa sasa ipo chini ya benki ya CRDB, lakini hawezi kuongelea lolote kuhusu shule hiyo kwa sababu taratibu zote ziko chini ya Bodi ya wakurugenzi.

Inadaiwa mmiliki wa shule hiyo anadaiwa zaidi ya Sh 500 milioni.
"Siwezi kuongelea chochote kile kuhusu suala la Shule ya Mkandawile kwa sababu mkurugenzi mkuu hajazungumzia lolote kuhusiana na shule hiyo,"alisema Manel.

Shule ya Mkandawile iliyopo Majohe, Kata ya Chanika Wilaya ya Ilala ilichukuliwa na Benki ya CRDB tangu Oktoba mwaka jana, ambapo wanafunzi pamoja na walimu waliachwa kuachwa njiapanda bila ya kujua la kufanya.

Hii ni wiki ya tatu sasa, baadhi ya walimu wa shule hiyo walihamishia makazi yao kwa aliyekuwa mmiliki wa shule Alfan Mkandawile ambaye naye baada ya shule hiyo kutokuwa mikononi mwake aliamua kutokomea kusikojulikana.

Walimu wa shule hiyo, akiwemo Kaimu Mkuu wa Shule, Michael Sigore kwa nyakati tofauti walilidokeza gazeti hili kuwa wamdai kiongozi wa shule mishahara ya miezi saba na kwamba wenye nyumba walikopanga wamewafukuza ndio maana wamehamishia familia zao kwa Mkandawile

Huyu mkandawile alikuwa mwalimu mzuri wa chemistry form V na VI, na wakati anazisha hii shule ilikuwa nzuri sana, na sijuhi kwanini ameshindwa kulipa hili deni.

Huyu Mkandawile amejitahidi kinoma na ndio watu wa kuwapa ruzuku. Natamani serikali ingemsaidia kama mwekezaji wa ndani na si kuwapa tumakampuni ya kuchimba madini tax holiday ambayo haina msingi wowote.
 
Wanajamvi mmeongea mengi. Tisa yote lakini la kumi ni swali - CRDB haikuwa na responsibility ya kuhakikisha shughuli za shule zinaendelea wakati ikirudisha hela zake? Hii ni on-going social undertaking implying that CRDB has a moral and social responsibility to oversee the continued functioning of the school.
 
Mkuu - CRDB haiwezi kuendesha shughuli zote wanakokopesha - sio jukumu lao. Wao ni bankers.
 
CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni
BENKI ya CRDB imekiri kuichukuwa Shule ya Sekondari ya Mkandawile kwa kufidia mkopo wake walioutoa kwa mmiliki wa shule hiyo.

Ofisa uhusiano wa benki hiyo aliyejulikana kwa jina la Manel alisema shule hiyo kwa sasa ipo chini ya benki ya CRDB, lakini hawezi kuongelea lolote kuhusu shule hiyo kwa sababu taratibu zote ziko chini ya Bodi ya wakurugenzi.

Inadaiwa mmiliki wa shule hiyo anadaiwa zaidi ya Sh 500 milioni.
"Siwezi kuongelea chochote kile kuhusu suala la Shule ya Mkandawile kwa sababu mkurugenzi mkuu hajazungumzia lolote kuhusiana na shule hiyo,"alisema Manel.

Shule ya Mkandawile iliyopo Majohe, Kata ya Chanika Wilaya ya Ilala ilichukuliwa na Benki ya CRDB tangu Oktoba mwaka jana, ambapo wanafunzi pamoja na walimu waliachwa kuachwa njiapanda bila ya kujua la kufanya.

Hii ni wiki ya tatu sasa, baadhi ya walimu wa shule hiyo walihamishia makazi yao kwa aliyekuwa mmiliki wa shule Alfan Mkandawile ambaye naye baada ya shule hiyo kutokuwa mikononi mwake aliamua kutokomea kusikojulikana.

Walimu wa shule hiyo, akiwemo Kaimu Mkuu wa Shule, Michael Sigore kwa nyakati tofauti walilidokeza gazeti hili kuwa wamdai kiongozi wa shule mishahara ya miezi saba na kwamba wenye nyumba walikopanga wamewafukuza ndio maana wamehamishia familia zao kwa Mkandawile

Huyu mkandawile alikuwa mwalimu mzuri wa chemistry form V na VI, na wakati anazisha hii shule ilikuwa nzuri sana, na sijuhi kwanini ameshindwa kulipa hili deni.

mi nilijua tu huyu MNGONI NI KWELI KICHWA KIZURI CHA CHEMISTRY LAKINI ALIKUWA TAPELI MKUBWA
HATA MKOPO ALICHEZA DILI NA WAHUNI FULAN PALE CRDB WAKIFWATILIA WATAONDOKA NA WENGI
KIJANA YUKO MBWENI KAJIHIFADHI LAKINI ALICHOFANYA SI UUNGWANA ....NAMKUMBUKA AKIWA DARASANI KAMA UNASOMA AZANIA ANAITA AZA BOY,PUGU BOY NK..ANYWAY HII LIWE FUNDISHO KUKIMBILIA SHULE ZA BEI POA NA MAZARA YAKE..ANYWAY KUKAMATIKA NI RAHSI LAKINI NI AIBU SANA KWA WALIMU WENGINE WENYE MAWAZO YA KUFUNGUA SHULE KAMA YAKE
 
  • rates kubwa za mabenk yetu,
  • elimu ya ujasiliamali kutotolewa kwa wakopaji
  • bank nyingi kutowaelimisha wakopaji kabla ya kuwapa mikopo.
pole mkandawile, hiyo ndo mikopo, na hapa pia crdb wamechangia sana coz wanamtindo wa kuwakopesha watu kiwango kikubwa sana cha pesa bila kuangalia risk ya hiyo biashara, kuna kipindi waliwakopesha vyama vya msingi na makampuni yanayohusika na kununua na kuhuza pamba kanda ya ziwa, mabilioni ya fedha na kulivyotokea mtikisiko wa kiuchumi dunia, ilibidi crdb wamtume moja ya wafanyakazi wao china, kwenda kutafuta masoko, kwa ajili ya pamba, na kilichokuja kuwaokoa ni jk kukubali kuwapa fedha kwa hiyo harasa walioingia.

tusilalamikie sana crdb, unaweza kukuta alipeleka mradi wa kuchimba madini kama kiwira shule ikawa top up ya mafao yake mwisho wa siku wanasalia na majengo..polen sana
 
millioni 500 ,for school project,mh huu ni wizi mtu,unless alikuwa anataka kujenga lab and college or mkandawile university.kwani Darasa moja kulijenga ni around 8million,sasa madarasa 10 it will be 80mil,kumbuka tayari alikuwa na shule ambayo ndiyo ilitumika kuwa collateral
hapa ilikuwa imesukuwa dili kati ya mkandawilie na crdb loan officers+branch manager,na kwa kuwa mkandawile ni smart sana and a risk taker hakujali maslahi ya watoto na shule akachukua pesa akijua kabisa watalichukua jengo ambalo thamani yake ni ndogo.hapa inabidi serikali ifuatilie kwa makini.
namkumbuka enzi zile akipiga day waka ktk kufundisha chemistry for A levels
 
mismanagement tu!!!, yeye ndiyo alikuwa director ,finance yeye na mkewe unadhani hesabu zitakaa sawa kweli?...wanajamii real situation jamaa kwa sasa kachoka kweli hana kitu kabisa anapiga mizinga tu isitoshe anahitaji tiba ya saikolojia la sivyo atakuwa chizi.:smile-big:
 
sasa siwangemwachia shule waiendeshe chni ya uongozi wa crdb hela wachukue au kama kawaida yao wanataka kupiga mnada tu
 
Back
Top Bottom