CRDB sim banking huduma ya ovyo inayowalaza njaa wateja wao kila siku

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank.

Hawafai basi tu.

Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
 
Hawa jamaa huduma zao mbovu kupita maelezo.
Halafu wenyewe hata hawajali kabisa.
 
Ila APP ya crdb ipo smart sana. Yaani unavutiwa kuitumia muda ote. Kwanza ni nyepesi pia ipo wazi yaani unaitumia bila kua na shaka, sijui imegoma au hofu kua labda nimetuma mala2.!! Hutumii MB nyingi hatakama upo sehem yenye network ya shida/kijijini.

kama ipo kwenye marekebisho basi wasiihalibu ule usmart wake.
 
🖕
 
Nimetembelea jiji la Tanga leo, CRDB ATM za matawi yao hazitoi huduma wala huwezi kutumia VISA kadi kupata huduma kwenye ATM za benki nyingine
 
Hata Mimi app yao inasimbia na imegoma moja kwa moja. Nimeenda Sana tawi lao la SUA na Kingalu bila ya suluhisho. Mwishowe naambiwa nitumie tu Kwa USSD
 
Back
Top Bottom