PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!
CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!
Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!