CP Diwani Athumani - ni mtu muungwana sana 2025 tumpe jimbo

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,398
1,264
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.

Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.

Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.

Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
 
MTAALAMU umenena vema. Tatizo nchi yetu huwa haiwahitaji watu wastaarabu, waungwana na waadilifu.
 
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.

Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.

Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.

Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
JIMBO NI KUMSUMBUA APEWA UWAZIRI MKUU
 
..ameshiriki kuvuruga uchaguzi wa 2020 halafu unasema ni kiongozi mzuri?

..Zaidi unashauri sasa ashiriki uchaguzi kama mgombea?!
 
Kama ni hazina huyu kiongozi ni MTU mstaraabu sana na huwa hana utendaji kazi wa kukurupuka.

Nilianza kumfahamu akihudumu Polisi, RAS Kagera, Kaimu DG wa Takukuru, na baadae DG wa Usalama. Kusema kweli huyu MTU ana kaliba ya aina yake. Lkn pia kila jambo hulifanya kwa hofu ya Mungu.

Nchi yetu inawahitaji watu wa aina hii, na wanapojitokeza tuwaunge mkono - lkn pia hata wasipojitokeza wenyewe basi tuwashauri na kuwashawishi watafute nafasi za uongozi kupitia taasisi za vyama vya siasa.

Ni ushauri tu
Msakila Kabende
(Mchumi Mbobezi)
Kwa aina ya wabunge waliopo hivi sasa nakubaliana nawe 25 tupindue meza na kuinyofoa miguu kabisa
 
Back
Top Bottom