Couples za JF ni hizi...!

Nlikuwa napia tu asee! Barabara ya kwenda kwetu ni wapi tena!

pita hapo kushoto utakutana na bibi kikongwe ana tege kama la jay jay okocha muulize eti guest house ya tunatomboka iko wapi atakuelekeza alafu pinda kulia utakutana na sista du kavaa pedo mpauko ya udhurungi kisha atakuelekeza chochoro ya kutokea main road kya vingunguti kiembe mbuzi hatimae utakuwa umefika kimboka bar buguruni tayari kuweza kuagiza kibuku bariki kimea halisi halisi kwa mwafrika kutoka ubungo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom