Couples Love..... Is Physical Attraction Necessary ?

Mkuu kweli kabisa sikatai hata mimi nikipata mwenye vyote mungu ashukuliwe..., lakini je penye wawili mzuri mapepe au wakawaida (sababu hakuna msichana mbaya) mwenye tabia murua, caring na very kind.....
Ni yupi utamuweka ndani?

Neither mkuu,nitaendelea kutafuta attractive kwangu(mzuri) na good qualities.Kwa kweli macho yangu kuridhika ninapomwangalia mke wangu ni muhimu sana.
 
excuse me hapo kwenye green imeniuma sana hahahahahah lol

haya bwana mie nikiwa natafuta wangu ntaangalia vyote ...
na ntamtafuta ambae anaangalia vyote hahah lol


AD,

Mi nikidhani tayari....:coffee::coffee::coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom