Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,285
- 79,651
- Thread starter
- #6,521
Jamaa alinichamba nilipo-post picha za rail ya Gantry crane na kuita SGR, wacha ashupalie! Tatizo hata reli ya kawaida hutumia reli kama zile japokuwa si pana kama za Gantry crane.hilo la kugeuza sikuiona ase.. nimecheka hao ndo type ya ‘reli inaishia dodoma’!