Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hilo la kugeuza sikuiona ase.. nimecheka hao ndo type ya ‘reli inaishia dodoma’!
Jamaa alinichamba nilipo-post picha za rail ya Gantry crane na kuita SGR, wacha ashupalie! Tatizo hata reli ya kawaida hutumia reli kama zile japokuwa si pana kama za Gantry crane.
 
images%20(24).jpeg
images%20(25).jpeg
images%20(22).jpeg
images%20(23).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu crabat uko sahihi .
Watanzania walipenda sana kuwa na reli ya kisasa ambayo itakua Classic na with all amenities.
Sasa zaidi ya kuwa ni SGR kwa maana ya uwezo wa kubeba weight ya mizigo zaidi Reli mpya itakua ni ya kawaida sana.
Hata TAZARA ilo jengwa miaka 40 sasa ukiondoa uchakavu basi Tazara reli bora zaidi kwa huduma kuliko hii SGR inayo jengwa katika kipindi hiki cha maendeleo makubwa duniani ya technologia
Huwezi kufanya project kubwa kama hii mawazo yakawa ya mtu mmoja ambaye anawaza imalize kabla ya uchaguzi ili itumike kama kiki ya kampeni. Hapo ndio tuliharibu project nzima.
Tulinunua ndege hivo hivo..hatimae zimekaa miaka miwili bila ya kutumika ipasavyo. Ni Hasara kwa taifa.
SGR ni ukweli kuna major oversight wakati wa kuingia mkataba na YAPI tuliisahau Bandari ya Dar es salaam.
Hata route ya SGR kuipeleka Mwanza nao kuna walakin. Ukiangalia nchi zinazotumia bandari sana Bandari ya Dar in terms ya mizigo ya kwanza ni Zambia ikifatiwa na DRC then Rwanda. Uganda ni ya Mwisho na kwao Mombasa ni karibu sana na rahisi.
Kama tulikua na lengo ku maximize Kupata mizigo ya nchi hizo basi tungelekeza reli hii huko.
Baada ya kina Ztto kupiga kelele ndio sasa ipo michoro kuwa itaenda Rwanda.
Walikataa kuipitisha Kigoma ambako ingeunganisha Rwanda , Burundi na DRC.
Kisa labda Kigoma wako watu aina fulani wasio takiwa au sababu yupo zitto mpinzani !
Tukija kwenye SGR kosa jengine ni kuvunja Master Station ya TRL pale station na kuigeuza kuwa ndio station kikuu ! ya SGR
Ile sehemu ni ndogo sana eneo mi dogo na Station hii maanzo ilijengwa zaidi ya miaka 100 ilopita. Dar wakati huo kuna watu Laki 2 na Tanganyika 3m
Ukuaji wa population miaka ya 90 na 2000 tulishuhudia foleni kubwa na adha kila reli ya kati ikifika hapo au ikiondoka
reli ya kati ikifika eneo zima linahemewa na abiria wanao shuka pale. Foleni ya magari na mizigo.
Eneo lile ndio ipo Central Police ni hatua 20 tu ! .
Kutokana na udogo wa eneo Main station na Uingiaji wa Njia za Juu za reli ni wa kubanaa banwa tu na hatarishi kwa abiria.
Kwa waliofika Tazara Main station pale Mandela road wataelewa nini ya umuhimu ya Main station ya reli kuwa kubwa na vipi Machina wakati ule wali angalia ukuaji wa idaidi ya watu kutaathiri huduma na kukidhi idadi ya watu na abiria.
Mpaka leo Tazara main station inatosha kuhimili ongezeko la watu.
Bado sijafahamu kama reli za umeme kama hizi zinageuza vipi ikifika pale station. Reli zamani ikifika locomotive inafunguliwa na na inaletwa ingine kutoka upande wa pili .
Metro train za umeme hazina mbele au nyuma ikifika mwisho inarudi reverse kama ndio mbele.
Sina uhakika na hizi tunayo jenga kama nayo mfumo wake ni sawa na metro trains au la.
Kwa ufupi main station ni padogo haikidhi haja ya abiria sasa hivi wala future.
Main station inatakiwa jengwe nje ya jiji kwenye nafasi ya kutosha.
Tumefanya haraka bila kufikiria mbele.
Povu Ruhsa

Sent from my iPad using JamiiForums
Bora kugawana hela kwenye lumbesa kuliko kujenga sgr na kununua ndege alisikika fisadi mmoja akilalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The SGR Nairobi Terminal is a 15 000 sqm train terminal/station that forms one of two key stations (out of a total of eight) that make up the recently completed Mombasa-Nairobi Standard Gauge Railway Line.
About the Mombasa-Nairobi SGR

[via wikipedia]
The Mombasa–Nairobi Standard Gauge Railway is a standard-gauge railway (SGR) in Kenya that connects the large Indian Ocean city of Mombasa with Nairobi, the country’s capital and largest city. This SGR runs parallel to the defunct, narrow-gauge Uganda Railway that was completed in 1901 under British colonial rule. The East African Railway Master Plan provides for the Mombasa–Nairobi SGR to link with other SGRs being built in the East African Community. At a cost of US$3.6 billion, the SGR is Kenya’s most expensive infrastructure project since independence. The prime contractor was the China Road and Bridge Corporation, which hired 25,000 Kenyans to work on the project. The railway commenced operation in mid 2017.

Inside Kenya's Railway Stations: The SGR Nairobi Terminal

IS

smaller than both Dodoma Bus Terminal at 18000 sq m and Dodoma market at 16000 sq m, listen from 5 min.

Yamekushinda sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mko Dar???

Tuki mbie kitu ganiwakati matakimbia nyinyi? SGR Tanzania iko Miezi 8 nyuma sasa.
Stations zinapunguzwa Ukubwa na style kupunguza gharama.
Tunakimbizana almradi tumalize
3 yrs sasa kwa 176 Kms
1.5 yrs kwa 600 kms ya Nairobi
Kwenye ujenzi ukichelewa kumaliza kwa wakati maana yake gharama zitaongezeka . Sasa kwa miezi mi 8 tayari kuna escalation costs.
Na bado hatuna uhakika wa exactly lini tutakwenda Moro kwa SGR !
 
This is now stupidity. Niliamua kuacha kukoment kwenye post zako ila sasa tatizo tutaonekana waTz wote mataahira. Unaelewa unachosema ukisema Mombasa-Nairobi 1.5 yrs? Ujenzi umeanza lini, ukakamilika lini, na treni imeanza lini kutembea? Hivi ni kwa nini mods wanaruhusu watoto kwenye platform kama hizi?

Escalation cost kwenye Sgr_tz ndiyo zipi hizo ikiwa mradi umechelewa kwa kuwa mkandarasi kashindwa kuendelea na ujenzi kwa sababu ya mvua? I think something is wrong with your analysing ability. Ushaambiwa kuna wakati certificates za contractor zilichelewa kuwa honoured!

It's very annoying when you see someone doing whatever they can to expose their stupidity.

Huwezi kuhimili debate ?

Mvua ? Una uhakika ? Mvua inaweza kuzuia kutandaza tracks au njia yake lakini haizuii kumalizia stations husika.
Au kuna tatizo jengine ?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
I warned you earlier not to feed the Troll, now you feel the consequences, she will drive you insane if you persist responding to her childish posts...
Escalation cost kwenye Sgr_tz ndiyo zipi hizo ikiwa mradi umechelewa kwa kuwa mkandarasi kashindwa kuendelea na ujenzi kwa sababu ya mvua? I think something is wrong with your analysing ability. Ushaambiwa kuna wakati certificates za contractor zilichelewa kuwa honoured!

It's very annoying when you see someone doing whatever they can to expose their stupidity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suswa, SGR to no where!

Very informative and honest video about the lonely Suswa station from the young vlogger. Viewer alert!! rough and dirty scenes of Nairobi somewhere at the beginning, very quiet and isolated Suswa station to cement the
point. He however, cleverly compensated the mess with splendid views of Mt Suswa at the end of the video, enjoy...
 
Back
Top Bottom