Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
praise team imeshikwa makende.Watu povu litawatokeeeee mpaka mkome. Mbona south Africa bandari kuu ni durban lakini wana treni ya umeme joburg to Pretoria. Kwani lazima hiyo treni ibebe mizigo! !? Tutapanda wenyewe kwenda moro. ....na kwenye mashamba yetu ya mpunga ruvu. Na ole wenu mje kuomba chakula huku. Shenzi tym! !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app