Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Natumia hiyo program hapo juu lakini nina siku nyingi natafuta Cd key zake nimeshindwa; hata nikijaribu ku-dowload inafika sehemu inagoma. Tatizo ni kwamba siku za nyuma nilikuwa natumia version 12; najaribu kuirudishia ver 12 inagoma kurun.
Kama kuna mwenye ufumbuzi tafadhali naomba tuwasiliane kupitia hapa janvini.
Kama kuna mwenye ufumbuzi tafadhali naomba tuwasiliane kupitia hapa janvini.