Mkubwa umecheki kwa Invisible? kwani alisema kila kitu kinapatikana kwenye links zake.
Kama utakuwa hujapata,basi nijulishe ili nikutumie kitabu cha X4,Mimi ndio nilichotumia wakati nasoma hivi vijimambo.
Good tym

MKubwa nimekutumia kitabu tena ndio kipya kuliko vyote duniani je umekipata?? check e mail yako la sivyo nijulishe labda nimemtumia mtu mwingine.NIna Lacture hapa ila kuna kama tano zinagoma kumalizia,kwani hakuna seeds,kama zikiisha nazo nitakumwagia tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.