wamatinga Member Jan 22, 2013 99 15 May 11, 2013 #1 Salamu wangwana wa JF! natafuta bin la kuhifadhia samaki kwa barafu. liwe na ukubwa wa mita moja au zaidi upana na urefu na kifuniko chake. asanteni.
Salamu wangwana wa JF! natafuta bin la kuhifadhia samaki kwa barafu. liwe na ukubwa wa mita moja au zaidi upana na urefu na kifuniko chake. asanteni.