Converting Scanned docs to Word or text

Don Draper

Senior Member
May 30, 2012
176
87
Jamani mimi nina kimbembe

Kuna doc ya PDF ambayo nimeweza kuiconvert into Word sasa kwa sababu ilikuwa ni scanned doc nataka niweze kuiedit in Ms Word

Nimekwamba nishadownload OCR softwares na kila kitu lakini nimekwama

sasa mwenye uwezo wa kunisaidia anipe namna ya kufanya fafadhali

Doc ni kumbwa mno about 90 pages
 
Hiyo kitu haitawezekana mpaka Yesu atakaporudi. Huwezi ku-edit scanned copy hata ukishai-convert kwenye word
 
:israel::A S-baby::baby::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:
 
tumia OCR, kama unatumia Acrobat Pro convert those pages to JPG au TIFF kisha ingiza kwenye OCR utaweza kuipeleka katika Word Version mkuu
 
Kiongozi unapoconvert scanned copy to word mbona unakuwa umeshamaliza ya hicho unachouliza au wapi sijaelewa ufafanue mkuu nijue kama naweza kukusaidia,kwa ufahamu wangu unapokuwa na scanned copy inakuwa katika fomu ya image au pic with extension either ( jpeg,jpeg,mpeg,img,tiff etc).Sasa iwapo umekonvert scanned copy to word inamaana ya kwamba file type imeshabadilika sio tena image file type inakuwa ni word file type with extension (.doc,docx,dotm,docm etc.)ambayo inakuwa ni editable na hiyo Microsoft word.Au kiongozi umepaste image katika word na sio kuconvert hebu weka sawa tujaribu kama tuna msaada katika hilo Don Draper
 
Kuna program huwa inakuja na scanner Jana limenitoka kidogo Ila nitakuwanayo nkijaribu kuangalia kwenye stock yangu
 
kama ipo kwa mfumo wa pdf, jaribu Calibre ebook reader. install, udrag pdf yako into the reader, then u choose convert. itakuletea dialog ya kuchagua settings. scroll down mpaka uone pdf input and epub ouput. click hiyo ya epub uchange iwe text output. click convert and voila
kumbuka, lazima scanned doc yako iwe in pdf format. ni kitu nimefanya and ina work. just incase ukwame, uliza nitaweka screenshots and more detailed explanation
 
1. Nimeupload hiyo original PDF doc kwenye Calibre ambayo nilikuwa tayari ninayo kwa ajili ya kindle books zangu
2. Kisha nikachose convert ambako ikaja ile PDF doc
3. Nimescroll chini na kikaona epub out put
4. NIMEKWAMA
5. NIMEKWAMA

Screen shot ya nilikofikia hii hapa nina iattach

attachment.php
 
Attachments

  • Capture2.PNG
    Capture2.PNG
    20.7 KB · Views: 197
mkuu, sioni ok hapo kwako, unatakiwa upige ok ukishachagua output format. pia nilikosea niliposema ubadilishie inaposema epub output, inatakiwa ubadilishie hapo juu palipo na drop down menu (like my screenshot) my apologies kama nilikupoteza. pia, tumia .rtf baadala ya .txt coz .rtf itaweka formatting iliyotumika mwanzoni na kuokoa edit time
lastly, sikujua image yako ina loads of images, nakushtua mapema, ikiconvert itabidi uje upachike picha one by one as sio txt and wont convert.
nitakuwa macho all nyt, holla ukikwama
**leh

35l4ysg.png

kumbuka to click ok baada ya kuchagua *rtf
vau5f.png

2mfaf4n.jpg
 
Kaka nimekwama nimesave kama ulivyoniambia

picha hizi hapa za process

lakini nilipofungua kwenye WORD...Imgoma imekuja nusu picha na sikuweka ku edit

Nimejaribu kusave na kufungua from WORD PAD lakini hali iko vile vile

sasa nifanyeje?

naona wewe umefanikiwa kuifungua na naona txt hapo kwenye WORD PAD

what I'm I doing wrong?
 
Attachments

  • picha 1.PNG
    picha 1.PNG
    29.1 KB · Views: 191
  • pichaa2.PNG
    pichaa2.PNG
    2.7 KB · Views: 190
  • picha 2.PNG
    picha 2.PNG
    13.5 KB · Views: 190
  • picha.PNG
    picha.PNG
    61.2 KB · Views: 194
I say mkuu sijui kwa kweli. na naona sija install office. ngoja ni install, nihamishie kwa word kisha nikurushie kwa e-mail. pole sana mkuu

pOA KAKA

E-mail nilishakutumia

na kama ukiweza ku attach hiyo word pad poa

kama ukiweza kuweka word poa

as long as doc iwe na uwezo wa kuwa edited
 
pOA KAKA

E-mail nilishakutumia

na kama ukiweza ku attach hiyo word pad poa

kama ukiweza kuweka word poa

as long as doc iwe na uwezo wa kuwa edited

tayari mkuu, check ur email. nimetuma word document. ninatumia office ya 2010 lakini nimesave compatible na word zote. pia nilitaka nikujulishe kuna picha (uk 17) ambayo haionekani, sijapitia .pdf file yenyewe nione vizuri ni nini. nijulishe kama imesoma vizuri nisije nikaenda kulala kabla hatujakurekebishia
 
Kaka umechemka umetuma doc siyo

zipo mbili na majina yanafanana lakini uliyotuma mimi sina problem nayo

yenye problem nimekutumia attachment tazama inbox yako
 
Back
Top Bottom