Contact za CHADEMA

AbbyBonge

Member
Apr 2, 2009
52
0
Jamani natafuta kuwasiliana na viongozi wa chama hiki toka December mwaka wa jana bila mafanikio, nimejaribu kuandika barua pepe kupitia anuani zilizoandikwa kwa tovuti yao bila majibu, ni vipi naweza kuwasiliana na Katibu Mkuu , Mwenyekiti au hata Mkurugenzi wa fedha,

Mwenye suluhisho naomba ani PM.

Asante,

Ni mimi mwenzenu katika ukarabati wa Taifa.
 
Hujajua kama hicho chama ni cha wachaga? wewe huwapati kwa kuwa wewe si mmoja wao. watajua unakwenda kujitafutia umaarufu au kuwaingiza mkenge. Jaribu TLP ya Mrema
 
Unataka kupeleka umbea kama si ufitini. Kama unalo la muhim na stahiki tembelea ofisi ya chadema uliyo karibu nayo utahudumiwa mpaka namba za sim unazotaka.
 
MOD ivi kama kuna kitufe cha like why msiweke cha dislike!
Alafu twakubaliana ukiwa na minimum dislike kadhaa uzi unafutwa.
Maana kuna watu wanatapika umu tunashindwa kuvumilia
 
Jamani natafuta kuwasiliana na viongozi wa chama hiki toka December mwaka wa jana bila mafanikio, nimejaribu kuandika barua pepe kupitia anuani zilizoandikwa kwa tovuti yao bila majibu, ni vipi naweza kuwasiliana na Katibu Mkuu , Mwenyekiti au hata Mkurugenzi wa fedha,

Mwenye suluhisho naomba ani PM.
Asante, Ni mimi mwenzenu katika ukarabati wa Taifa.

Mbona viongozi wengi wa CDM ni member wa JF na wanatumia ID zao halisi? Ina maana umeshindwa hata kuwaPM au ndio unawapima watu
 
Endelea kutoa maoni kama umepata Email yao inawezekana wakatekeleza au kufuatilia mambo unayowaambia sio mpaka uonane nao uso kwa uso. Waambie yanayokukera kama yapo au toa ushauri kama unao wanaweza kufanyia kazi sio mpaka uonane na viongozi.labda hapo baadae wanaweza kukutafuta kwa kupata maelezo zaidi kulingana na mawazo unayowapa.
 
Back
Top Bottom