Jamani natafuta kuwasiliana na viongozi wa chama hiki toka December mwaka wa jana bila mafanikio, nimejaribu kuandika barua pepe kupitia anuani zilizoandikwa kwa tovuti yao bila majibu, ni vipi naweza kuwasiliana na Katibu Mkuu , Mwenyekiti au hata Mkurugenzi wa fedha,
Mwenye suluhisho naomba ani PM.
Asante,
Ni mimi mwenzenu katika ukarabati wa Taifa.
Mwenye suluhisho naomba ani PM.
Asante,
Ni mimi mwenzenu katika ukarabati wa Taifa.