Congo ina plan 50 Gigawatt, grand Inga Hydroelectric Dam!

Yes ku rely kwenye wa maji tu ni biggest single source of failure, as time inazidi dunia inatafuta vyanzo vingine zaidi ya maji. Imagine tanzania tungekuwa na multiple sources za umeme? Leo hii tungepata shida ya mgao?
Watetezi na wanufaika wa mgao wanasema 'lazima' mgao ungelikuwepo sababu ya uchakavu wa miundo mbinu!

Hata sasa umeme kuongezewa, wanatafuta 'kiswahili' cha kufanya ili mgao uendelee.
 
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.

cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
Wachina wala hawakuwasikiliza mabeberu wakati wanajenga "Stiglaz" yao ya Three Gorges dam (23GW). Wachina walizamisha vijiji kadhaa ili kupata umeme, wakahamisha raia wao na kuwapeleka maeneo salama. Leo wana umeme wa bei rahisi ambao unaendesha viwanda vya 24/7 na kutupatia bidhaa kwa bei ndogo.
 
Back
Top Bottom