Congo ina plan 50 Gigawatt, grand Inga Hydroelectric Dam!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,412
8,913
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.

cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
1709097217799.jpeg
 
Yes ku rely kwenye wa maji tu ni biggest single source of failure, as time inazidi dunia inatafuta vyanzo vingine zaidi ya maji. Imagine tanzania tungekuwa na multiple sources za umeme? Leo hii tungepata shida ya mgao?
Mara umeme wa maji umepitwa na wakati ,huku hata mataifa mengine kama China ,Brazil ,Canada na Ephiopia hao wanaouza mpaka nje wana huo huo umeme wa Maji .
 
Kwa sasa hata tuwe na multi source of electricity, mgao hauwezi Isha. Labda miaka kuanzia 10 ijayo.
 
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.

cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
Inga Dam ni mwaka wa 20 inazungumziwa hii
 
Mara umeme wa maji umepitwa na wakati ,huku hata mataifa mengine kama China ,Brazil ,Canada na Ephiopia hao wanaouza mpaka nje wana huo huo umeme wa Maji .
KWw nchi zenye uhakika wa wa maji,mfano Congo ina uhakika wa maji kwa asilimia 100, the same America kusini, angalia Zambia na South Africa wanavyo teseka na mabwawa ya umeme, kwa nchi kama Tanzania ambako kiwango cha uharibifu wa mazingira kiko juu sana, kutegemea umeme wa maji ni hatari tupu
 
ulitaka tanzagiza izalishe umeme kutokana na nini labda ?
 
Utasumbuka bure tu ndugu yangu,wengine wana hulka tu za kupinga kila kitu,
Vichwa ndama au pingapinga ni wengi mno!, almost 60%, wana macho lakini wametia upofu, chadema inaharibu sana vijana, sijui inawalisha aina gani ya upumbavu, hawaoni jema, hata wameshindwa kutoa pongezi kwa serekali kwa mradi mzuri wa rufiji kuanza kazi /
 
Kusifiwa ni hisani isiyodaiwa. Huo umeme ni huduma inayolipiwa sio huduma ya bure. Mbona hatuoni mkisifia walipa Luku?
 
Miaka 10 ijayo serikali itakuwa imekuja na chanzo kipya cha umeme tuipongeze serikali japo kwa kujitahidi kujenga hili bwawa.
Tuipongeze serikali kwa lipi? Wewe ukitimiza majukumu ya familia yako utahitaji pongezi? Hivi ni vitu vidogo sana kwa serikali na ilitakiwa ifanye zaidi ya hapa kwa sababu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo pia ilitakiwa iwe imefanya mara baada ya kupata uhuru ndani ya miaka 10 ya kuwa huru. Achana na biashara kupongeza kwa mtu anayetimiza wajibu wake. Huko ni kutengeneza mazingira ya UCHAWA. Bata wahed!
 
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.

cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708

Bwawa la kwetu hapa lilipata vizuizi vingi siyo kwa sababu ya ukubwa wa mradi bali ni kwa sababu ya mbuga ya wanyama. Huko Congo, nako kuna mazingira ya hivyo hivyo?

Halafu ufahamu kuwa ukubwa wa DRC unazidi ukubwa wa Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda ukiziweka kwa pamoja.

Ukubwa wa eneo lote la Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda ni square kilometres 1,862,903, wakati DRC pekee ni square kilometres 2,344,858.

Hivyo, hako kaeneo ka kujenga bwawa, kwa Congo ni nukta.

Congo ina misitu mingi minene eneo kubwa la nchi, ambayo haijawahi kuguswa na mwanadamu tangu Ulimwengu uumbwe, ndiyo maana kuna maeneo hayajawahi kushuhudia ukame wowote. Hivyo hata wakijenga mabwawa ya kuzuia maji mengi, ni ngumu sana kuleta upungufu wa maji kwa wanyama, binadamu au kwa shughuli nyingine za kiuchumi.

Mradi wenyewe ni huu hapa:

"The Grand Inga Hydropower Project is a series of seven proposed hydroelectric power facilities located at Inga Falls across the Congo river. Currently on site exist the Inga I and Inga II facilities, with a total generating capacity of almost 2,000 MW. The world’s largest hydroelectric dam to date is the Three Gorges Dam located on the Yangtze River in China, with a generating capacity of 22,500 megawatts (MW). If completed, the final Grand Inga project would become the largest hydroelectric facility in the world, generating upwards of 40,000MW"
 
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.

cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
Kwani unajua sisi plan yetu ni nini..?
Ni kufikia 15000 megawatts/15 gigawatts by 2030.

Si ajabu kabisa hadi congo wamalize hilo bwawa lao na sisi tutakuwa karibu sana na wao au tumewapita..
 
Tuipongeze serikali kwa lipi? Wewe ukitimiza majukumu ya familia yako utahitaji pongezi? Hivi ni vitu vidogo sana kwa serikali na ilitakiwa ifanye zaidi ya hapa kwa sababu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo pia ilitakiwa iwe imefanya mara baada ya kupata uhuru ndani ya miaka 10 ya kuwa huru. Achana na biashara kupongeza kwa mtu anayetimiza wajibu wake. Huko ni kutengeneza mazingira ya UCHAWA. Bata wahed!
Duh mental case
 
Mbona hata ule upepo wa baharini unatoa umeme kuna niliona wametega baharini yaan kuhusu umeme ilitakiwa maccm yahakikishe ndio kitu Cha muhimu kwa gharama yoyote sio kwenda kununua ndege cash huku tunalala Giza viwandani wanateseka eti serikali ya viwanda
 
Back
Top Bottom