CONGO: Askari wa JWTZ Waanza Msako Mkali Katika msitu wa Ben, Askari Wawili wa JWTZ wauawa katika Mapigano Makali

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Askari kutoka Tanzania nchini CONGO wameanza msako mkali na kutumia ndege za kivita katika misitu ya Beni.

Jumla ya Wanajeshi 18 wamejeruhiwa Waasi wa ADF Uganda ndo wanahusika.

Tanzania leo Imepeleka wanajeshi zaidi na Helicopter za Kijeshi Vita Kali Inaendelea.

Walikua wanalinda Amani wao ndio wamefanyiwa Shambulizi la Kushitukiza Tuliopitia Masuala ya Kimedani tunasema Ambush.


IMG_20171010_124223.jpg

Picha Imepigwa na ITV JWTZ wakiwa Kazini mapema Leo katika Misitu ya Beni.
TPDF UNFIB Goma.jpg


496212 - Copy.jpg

JWTZ walivyotembelewa na Asha-Rose Migiro Nchini Congo.

97f55eeef4f79a058768f35a358770e4.jpg


RIP to Fallen Soldiers!!!
 
Tukae tukikumbuka kuwa tukiacha moto ufuke kwa jirani tukajidai kupuuzia tukidhani tuko salama, ipo siku upepo utabadilika moto uhamie kwetu. Tuzidi kuviombea vikosi vyetu vya usalama maana hatujui mangapi wanatukinga nayo kwa kujitolea maisha yao. Makosa ya wachache yasitufanye tukavunja mioyo ya wale wanaojitahidi kutuhudumia, hasa katika mazingira magumu ya kiusalama na kisiasa.
 
Back
Top Bottom