Elections 2010 CONFIRMED: Getrude Mongela aanguka Ukerewe

Source gazeti la habari?? Jamani hiyo source nina mashaka nayo. Just imagine habari hadi ichapishwe ije kutoka huku radios na tv's bado hawajapata habari!!
 
Jamani leteni habari za uhakika. hivi ni kweli huyu mama gwiji amedondoshwa? tafadhali nihakikishieni.
 
Jamani ni confirmed (Radio one), mgombea wa CHADEMA katurusha huko tena: Nafuatilia kupata takwimu wadau
 
Haya,
CHADEMA: 34642
CCM: Sikusikia fresh kwa sababu ya kiwewe, ila ni elfu moja na...., so tumeshinda kwa kishindo (Ukerewe Weraaa, weraaaaaaaaaa)
 
hivi hawa CCM hawana vijana kila sehemu wazee tu? Ongera wanaukerewe kwa kuchagua mabadiliko.
 
Haya,
CHADEMA: 34642
CCM: Sikusikia fresh kwa sababu ya kiwewe, ila ni elfu moja na...., so tumeshinda kwa kishindo (Ukerewe Weraaa, weraaaaaaaaaa)


pipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz....
 
safi saaaaaaaaaaaaaaaana wananchi nyie ndo waamuzi wa nani awe mwakilishi wenu na si Chama, safi sana tunataka sura mpya bunge la safari hii!
 
sasa akamshataki Dr. Slaa kwani mabaki yote ya Dodoma na Bunge la Afrika kamaliza kwenye kuhonga, Mwacheni aliye juu aitwa Muumba. Sauti ya watu sauti ya Mungu, kudadeki watakiona
 
Back
Top Bottom