Condom zilizoingizwa nchini Hazifai Kukinga ukimwi

Kama taarifa hizi ni sahihi,Tanzania haihitaji kuwa na viongozi.Ni heri wangetutajia hizo aina tujue maana still ziko kwenye mzunguko.
 
watakomaje??tukiwaambia dumu na mpenzi mmoja mnatuona "mapopompo" sasa kazi kwenu!kudadadeki.kuna jamaa mmoja hivi yeye alikuwa anaona condoms ndio kimbilio lake asijue zina matundu.mimi mwenyewe ningekuwa na kiwanda ningetengeneza zenye matundu.maskini yule jamaa loh!atakuwa amepata ukimwi!
R.I.P MR..........!

nani kakwambia watu wanatumia kondom? watu uzinunua na kuishia kutupa maganda kama ushaidi wa guest kuwa wanatumia nawe sasa ushaumia DAR wasichana wengi mnapenda vizee vya miaka 70, wazee wanasema zinapunguza joto hivyo wakiziona naniii ulala, nawahulumia nyie wapenda vizee, tutawapiga chepe sanaaaa
 
tuambie hizo kondom ni brand ipi dume,au salama au brand za kizungu?
 
watakomaje??tukiwaambia dumu na mpenzi mmoja mnatuona "mapopompo" sasa kazi kwenu!kudadadeki.kuna jamaa mmoja hivi yeye alikuwa anaona condoms ndio kimbilio lake asijue zina matundu.mimi mwenyewe ningekuwa na kiwanda ningetengeneza zenye matundu.maskini yule jamaa loh!atakuwa amepata ukimwi!
R.I.P MR..........!

~ni kweli unampenzi mmoja, lakini unajua mpenz wako anao wangapi???
~ivi umeshapima?
 
Wacha serikali ya m.a.gamba watumalize tu, ni sisi wenyewe si ndo tunawachekea?
 
Da sasa arvs zitaanza kuuzwa maduka ya dawa maana du........naelekea angaza nikaanze ungwe mpya.........condom + wagoni= ngoma .....acha tuluke kavu live sasa tufe wote......condom feki
 
Back
Top Bottom