Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
- Thread starter
- #61
Mkuu EMPTY Sasa wewe ni Male au Female? kama ni female umeshakuwa na mume kama ni Male kama mimi basi itabidi uiuze hiyo Computer yako uitafute PC ya Kike. Mimi Computer yangu ni ya kiume nimechukia sana nataka iwe inatoka sauti ya kike itabidi niuze nitafute computer ya kike hahahahahKangu KADUME:
Hah hah hah!
Eti kana niambia I LOVE YOU!.