Computer yako ni ya Kike au ni ya Kiume? Is your computer “MALE” or “FEMALE” ?

genderofcomputer.gif

This is funny trick that let you know the gender of your computer whether it is male or female. So let get started.
Open Notepad and paste the following codes.
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"i love you"
Save the file as gender.vbs
Now, open the save file
If you hear male voice then your computer is male and if you hear female voice then its female.
My computer is male what about you ?
 
Nakumbuka niliwahi kuwaambia watu hapa jf, kuwa tuwe tunasoma na posts za zamani, kwani maswali ya matatizo mengi tunayouliza ufumbuzi wake umeshaelezewa katika posts za zamani.

Mfano:https://www.jamiiforums.com/tech-ga...8-jinsi-ya-kujua-jinsia-ya-computer-yako.html

Hata hivyo nimechek pc ninayotumia nimegundua kuwa ni ya kiume, tena imekwisha baleghe. So, kwa nyie wenye pc za kike mnakaribishwa kuchukua mbegu, kwani hii yangu ni kidume cha mbegu!!
 
Is_computer_male_or_female.png

1. Open Notepad

2. Type the following line in notepad:
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"I love you"

3. Save file as computer_gender.vbs

4. Run the file.
If you hear a male voice, your pc is a boy ;)
If you hear a female voice, your pc is a girl :)

wakuu, mbona kwangu haya maujanja hayakubali?
 
Tehe tehe tehe!

Haya wajamini, jaribuni na code hii hapa chini

CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Tumefika hapa kwa udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na upuuzi wa CCM"

Save Mnyika_Dhaifu.vbs

Ukiona inagoma kusema ujue PC yako ni MAGAMBA, ikisema ujue M4C.

hahaha.... Imesema kwa mbwembwe hiyo... Duh hii itakuwa M4C Tu .
 
hilo swala la sauti linaweza badilishwa tu... Some place kwenye control panel kama sikosei kwenye sound. Unaweza chagua aina za sauti
 
Is_computer_male_or_female.png

1. Open Notepad

2. Type the following line in notepad:
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"I love you"

3. Save file as computer_gender.vbs

4. Run the file.
If you hear a male voice, your pc is a boy ;)
If you hear a female voice, your pc is a girl :)

Mine is both bisexual and transsexual!!!
 
wakuu, mbona kwangu haya maujanja hayakubali?
fanya Hivi

1) First thing to do is opening the "notepad" section. Well, if you dont know how to find it, just click "Start" -> "All programs" -> "Accessories" -> "notepad

2) Copy na kupaste hii ndani yake: CreateObject("SAPI.SpVoice").S peak"Hello"

3)Save the notepad as "Hello.vbs" (please notes that the execution .vbs is important), you could save it anywhere as you like hata kwenye desktop.

4) Open the file by double clicking the file that you've made. Dont forget to turn on your computer speakers and hear the sound, you'll know the "gender" of your computer by the sound of it

Halafu tuambie hapa computer yako ina jinsia Gani? usiogope na usisahau kuipa jina computer yako. Hatutatangaza posa. Tupeni majibu ili tujue computer ya mkuu flani na flani ni jike au Dume!!. Angalia Video hapo juu Mkuu kholo

hapo step ya tatu yaani badilisha kutoka hellow.txt na iwe helow.vbs

pia kama unaona process ni ndefu..basi tengeneza new text document, halafu paste ile code, halafu badilisha iwe .vbs badala ya .txt
 
mi mbona zote inanigomea ...inaleta error flani hivi inasema expected end of statment...natumia win7!!
kama unatumia window 7 jaribu hizi

  • Open your notepad
  • Type or copy paste: CreateObject(“SAPI.SpVoice”).Speak”I love you” (if you copy+paste the code, replace quotes by actual quotes on your keyboard)
  • Save as computer_sex.vbs
  • Run the file.
If you hear a male voice, you have a boy if woman’s, it’s a girl.
Ht to James Turing(nimecopy kutoka How to Find Out The Gender Of Your Computer | MakeUseOf Geeky Fun)
 
fanya Hivi

1) First thing to do is opening the "notepad" section. Well, if you dont know how to find it, just click "Start" -> "All programs" -> "Accessories" -> "notepad

2) Copy na kupaste hii ndani yake: CreateObject("SAPI.SpVoice").S peak"Hello"

3)Save the notepad as "Hello.vbs" (please notes that the execution .vbs is important), you could save it anywhere as you like hata kwenye desktop.

4) Open the file by double clicking the file that you've made. Dont forget to turn on your computer speakers and hear the sound, you'll know the "gender" of your computer by the sound of it

Halafu tuambie hapa computer yako ina jinsia Gani? usiogope na usisahau kuipa jina computer yako. Hatutatangaza posa. Tupeni majibu ili tujue computer ya mkuu flani na flani ni jike au Dume!!. Angalia Video hapo juu Mkuu kholo

hapo step ya tatu yaani badilisha kutoka hellow.txt na iwe helow.vbs

pia kama unaona process ni ndefu..basi tengeneza new text document, halafu paste ile code, halafu badilisha iwe .vbs badala ya .txt

mkuu nashukuru kwa kunielewesha vya kutosha ila nasikitika kuwa bado haitaki kurani:A S cry:
inaniambia;
Error: Invalid character
code: 800a408
source: Microsoft VBScript compilation error
 
Back
Top Bottom