Computer inazimika ninapokuwa naingiza window!

MWAFONGO

New Member
May 10, 2011
4
0
EBANA KUNA PC AMBAYO NIMELETEWA ILI NIIPIGE WINDOW NYINGINE. BUT KILA NIKIJARIBU KUIPIGA WINDOW, INAANZA VIZURI MPAKA KWENYE HATUA YA "to install a fresh copy of window now press ENTER" NIKIPRESS ENTER COMPUTER INAZIMIKA.
 
Laptop au desktop mkuu?--angalia inapumua vizuri? (Feni inatembea sawa)--kama ni laptop jaribu kuchoma power cable wakati unaweka windows
 
EBANA KUNA PC AMBAYO NIMELETEWA ILI NIIPIGE WINDOW NYINGINE. BUT KILA NIKIJARIBU KUIPIGA WINDOW, INAANZA VIZURI MPAKA KWENYE HATUA YA "to install a fresh copy of window now press ENTER" NIKIPRESS ENTER COMPUTER INAZIMIKA.
hiyo iwe laptop,au desktop,tatizo ni feni.chec fen itakuwa haizunguki au kama inazunguka haizunguki vizuri
 
Check shock-up zake zote kama ziko poa.. Kidding mzee,


















Jaribu kuangalia feni au CD/DVD rom.. pia anagalia hakikisha CD unayofanyia installation iko poa
 
kama fan hazitakuwa na shida, hdd au memory inaweza sababisha hilo tatizo
 
kama ni hp laptop aina nyingi huwa zinachemsha ni fani imejaa vumbi, kama waweza fungua kwenye fani upulizepulize uondoo vumbi alafu uone kama inapiga mzigo. Kama haipigi basi lazima uinstal tena windows na back up file yake itaweza kukuondolea tatizo matatizo yakizidi basi funga virago kwa daktari wa pc
 
inaweza kua temperature, Memory au harddrive. Alafu ungetakiwa uwe specifc kwny tatizo, ni laptop au desktop? Inazima kabisa au inarestart?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom