Community Airline Yamwaga Abiria "100"

MKUU BUSWELU soth kuna ngoma moja inaitwa KULULA AIRLINE....HII NGOMA WANASAVE WACHA SAME TO CA..HII NGOMA TUWAWEKE MAOMBINI TU MKUU ILA WAKIINUKA HAWA JAMAA ATC INABIDI WARUDI BAGAMOYO KUPITIA VIZURI....DUA ZAO...MAANA NASIKIA MKUU WASOUTH NAO WANAANZA KULALA WIKI IJAYO SASA ....WANAAMKA ASBH..NA KUPISHANA SAA MOJA NA ATC SAFARI YA SOUTH SIJUI KAMA WATATOKA MKUU...TUNAWAMBIA NAO WAJIANDAE VYEMA....
 
now is 6 times na majana nimepanda ndege ya atcl kwa kutumia community wamekodi na ninarudi jtano kupitia hiyo hiyo ATC.....
hawa watu wameshachoka inaonyesha..ila wana save .

..nasikia ndege haijakaa vizuri ile! anyways,ila ni concern ya muhimu.
 
dar Si Lamu
Napenda Kuwaasisitiza Hawa Jamaa Inabidi Wajitahidi Kufwata Principle Za Airline Na Wasiingie Tyu Ovyo.....
Hivi Majuzi Nina Dogo Alikuwa Anafanya Kazi Ya Angani Wameajiriwa 34..wamepunguza 10 Juzi Na Kibaya Zaidi Wamepunguza Hadi Na Staff Wengine Wazoefu Kwa Ajili Ya Chuki Binafsi...kuna Mkuu Mmoja Hemed This Man Very Exp Lakini Majuzi Wameletwa Madogo Kwa Kujuana Na Kuwafukuza Wazoefu....kisa Kuna Hawa Wazungu Nasikia Wakienda Wenye Ndege Wanataka Wakapelekewe Wakasaini....wameingia Huyu Mkuu Akasema Procedure Wao Waje Ofisini Kusign Jamaa Akaulizwa Na Rubani Mimi Na Wewe Nani Boss..akampigia Jamaa Mmoja Kajilimbikizia Vyeo Yeye Ni Direct Of Operation Na Dir Wa Techn...mulokozi Kisa Ni Eng,,,,jamaa Akampiga Chuma ...so Kwa Kuwa Mnatusaidia Kwa Msaada Tunaomba Muwe Makini Hasa Na Ajira Zenu..msifanye Airline Kama Pale Kwa Bakheresa Mtadondosha Ndege...sheria Zifwate Wao Ninani Wapelekewe Wasifwate Sheria Zetu...wakuu Mlio Karibu Tunallipenda Hili Shirika Wana Save..tuwasave Nao Jamani
 
..nimekufahamu!

..nimeambiwa hapo hamna professionalism kabisa!iliyopo ni ya kubabaisha. sasa,hii isije ikawa hadi kwenye upande wa ufundi! ndege ikija dondoka tutatafutana!
 
NIPASHE"""COMMUNITY AIRLINE YAKWAMISHA ABIRIA 100

i)wazidi kukatisha tiketi ndege hakuna.......
""USIUTIE MAPENGO MSUMENO WANGU MIE""
 
----pg4--
twaambiwa Tusubiri Imeenda Kumleta Waziri Mkuu...
----mkurugenzi Mkuu Akataa Kupokea Simu Na Kuamua Kuzima ...

---abira Twabebwa Mpaka Ofisi Za Community Na Kuambiwa Tunarudishiwa Hela Kufika Twaambiwa Mhasibu Amekwenda Bank Tusubiri Tukarudishwa Uwanjani
----polisi Waitwa Kusimamia Kurudishiwa Nauli,,,
----msimamizi Mkuu Wa Shirika Awassili Na Kuulizwa Na Kutoa Jibu Moja Tu Ndege Sa Nne Usiku Itapona

---abiria Twapandishwa Kwenye Atcl Kuelekea Mwanza...

----abiria Waishukuru Atcl Kwa Kuwapeleka ,mwanza Usiku Ule....
 
kwa msaada tu wafikirie njia nyingine kuendesh shirika hili kwa faida lakini si hii ndege waliyonayo tunapandatunataka starehe
CHIZI UMENIPATA NATUMAINI
 
Back
Top Bottom