Nguchiro
JF-Expert Member
- Nov 23, 2009
- 364
- 31
Interview c mbaya kihivyo na unaweza ukajibu vizuri na ukakosa kazi sababu ya chuki binafsi au interviewer mwenyewe kuwa na matatizo yake nawe kuhusu namna unavyojibu ila c kwamba hau-qualify, katika maswali yote mimi la malipo huwa linanipa wakati mgumu wanakuwa keen na kukukazia macho as u speak hadi m2 unaogopa kutaja kubwa sana matokeo yake unataja ndogo ambayo haikulipi c wote 2nakuwa after kazi as we claim katika interview but its ol about authority, power n money ya post husika