Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 591
- 66
Duuh! ''The judges knows not how they will be Judged''
akhsante sanaa! Endelea kutushushia mistari hii ya maana pindi tunapobanwa katika usairi ( Usaili) mh! R/L Vipi twazichanganya? Mbona sioni haya mambo mkiandika lugha ya kiingereza? Sijaona mtu hata mmoja akiandika INTLODUCTION badala ya INTRODUCTION.? Ni vipi hatujui lugha yetu..(samahani lakini mwandishi, kisa ni kwamba mie mzawa naumizwa na hali hii, niwie radhi mwenzio nashindwa jizuia@Mwandishi wa 1.