Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Habari ndo iyo.
Nasikitika kuona imefika hapo kwa suala ambalo ninaamini lingezungumzika. Nadhani vijana wa Engineering itabidi wa-review thinking yao.
Wenzao (mangwini) juzi walikuwa kwenye mgomo kushinikiza serikali ya nchi yao iwaongezee posho. Kilichonishangaza ni kuona wanafunzi wa uhandisi hawashiriki. Wao walikuwa na mgomo tofauti wa kushinikiza mwenzao aliyeliwa kichwa arudishwe.
Sitaki kuwananga. But they have screwed themselves by enlarging this problem.
Hakuna uinjinia hapo. ni uhuni tu.