The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,393
- 12,977
Umepeleka wa busara zako, waache hawa vijana wanachofanya ni sahihi, kwa mazingara ya sasa mtu una GPA above 3 then unadisko kwa course moja tu haikubaliki.
Wewe inaelekea hukusoma zamani kama unavyotaka tuamini!! Mbona DISCO lilikuwa ni jambo la kawaida tu regardless your GPA. Kuna jamaa SUA nakumbuka alisha disco na 6 As, 1 B na aka-fail Biometry kwenye EU na sup. Sasa niambie huyu bwana alikuwa na GPA ya ngapi??