Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
- Thread starter
- #41
Kwani hapo waliokereka ni Clouds FM ama ni wananchi? Ina maana akina Babra na PJ pamoja na Mbigwa wanawakilisha waTanzania 47Millions
Wao wamepata fursa ya kutoa ya moyoni kwakuwa wako radioni, jiulize je ni wangapi hawana pa kusemea na wamekelwa na hili jambo?