tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,116
Jambi leo??! Ni radio, tv au gazeti?
Gazet mjomba,
Ok Jambo Leo jina la awali .
hili lingine linatokana na mambo yake
Jambi leo??! Ni radio, tv au gazeti?
Ni wananchi. Wa Tanzania, na ni baadhi tu ya wananchi waliokereka na ukawa, ila wao wamepata fursa ya chombo kwa kutoa duku duku lao, je ni wangapi hawana pa kusemea?
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Na waliondika hiyo habari za Ukawa kwenye gazeti ni wanyarwanda? Use a little bit common sense you have kijana

Kaka sio uchanga ila tumia akili kaka,Unaenda kujadili mustakabali wa nchi na watu wenye malengo mengne na hata kuteuliwa,Mzee aliteia weng toka kwake so huwez ukaptisha wanachotaka wananchi zaid ya wanachokitaka wao.