Clouds yaipotezea UKAWA

Akili ndogo utaijua tu. Kwa hiyo hao watangazaji wako wawili ndio watanzania wote unaosema wamekerekwa na ukawa. Very poor mind, very poor thinking.

Akiri yako ndogo sana! Unadhani waTanzania wote wana akiri kama ya ukawa??!. Utakuwa failure ktk maisha yako angalia sasa katiba inapitishwa nyie toeni macho tu.
 
Akiri yako ndogo sana! Unadhani waTanzania wote wana akiri kama ya ukawa??!. Utakuwa failure ktk maisha yako angalia sasa katiba inapitishwa nyie toeni macho tu.

wewe msugua makalio ndio utakae teseka na hicho kitabu cha ccm we subiri wamalizie kukikarafati ndo utajua. sahizi jifanye hamnazo
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.

Kwa taarifa kuna siri kubwa sana ambayo watanzania hawajajua,ni kwamba clouds ishanunuliwa na Rostam na mahirika wake Lowassa tangu mwaka Jana,fuatilieni hii taarifa halafu mtajua ninachozungumza hapa,nawasilisha
 
Hivi Kuna Watz bado wanasikiliza hiyo radio ya mashoga?

Na Jana Nimethibitisha. Kuna mtu walikuwa wanamuhoji anasema ni mwalimu sijui wa wapi mwanaume lakini alikuwa na walakini mkubwa kwenye mambo na jinsi alivyokuwa anaongea. Alikuwa anajiwa na Gea habib na Ben Kinyaiya
 
Samahani Clouds ndio nini ? au ndio kile kituo cha redio cha mkude simba !! tufafanulie kidogo ili tuielewe hii habari. kama ni kituo cha redio naomba mnitajie mita band ili niisikilize tafadhari.
 
Back
Top Bottom