Clouds tv wakata matangazo baada ya kuanza kuhojiwa shibuda

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Jamani hii imekaaje kwa hiki ki tv kumkata mbunge shibuda amby alianza tu kuongea au gubu tu!si wenyewe wamejipndkz kurusha mazishi ya Kanumba sa kwnn wanabagua Shibuda
 
prove kama wamekata mkuu!wenyewe wakisema yalikatika?au tuseme angekuwa ni mtu tu asiyejulikana na sio shibuda ungesema kakatiwa?dont just jump into conclusion mkuu!
 
mopaozi 12:17 Today
Amedai yeye ndo kaja kumwakilisha baba ake kanumba na pumba nyingi tu kaongea!

Edit Reply Report Post
Ndallo 12:17 Today
TBC 1 wamekatiza matangazo baada ya John Shibuda kuonekana Live! Hahahaha siasa mchezo mchafu sana!

Reply Report Post
King Kong III 12:19 Today
By Ndallo:
TBC 1 wamekatiza matangazo baada ya John Shibuda kuonekana Live! Hahahaha siasa mchezo mchafu sana!
Umeona eh huyu mkurugenzi mpya anaogopa yaliyompata Tido muhando hahahahahaaaa

Reply Report Post
 
Jamani hata Clouds yamekatika tunaomba waliomsikia huko Leaders watujuze huyu Mbunge wa Chadema na Msukuma anasemaje?
 
Wameanza vizuri kweli

DTB
Startimes
Oxfam

Lakin ilivyofika kwa CHADEMA tu kupitia SHiBUDA matangazo yakakata duu I smelly p***y!
 
Wameanza vizuri kweli

DTB
Startimes
Oxfam

Lakin ilivyofika kwa CHADEMA tu kupitia SHiBUDA matangazo yakakata duu I smelly p***y!

Acha Uzandiki wewe; hapo mitambo tu ndio imeloga; kama umefuatilia matukio tangu mwanzo wala sio mara ya kwanza kwa kukatika kwa matangazo; kama hawakuhitaji Shibuda afunguke wala hata wasingekua na haja ya kumpa hiyo nafasi; Acha kupandikiza watu chuki zako binafsi.
 
Back
Top Bottom