Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,444
- 25,591
Hahaha.. We unasema macho tu, hata 'maskio' yataumia kwa kusikiliza sauti za wabana pua.. Kama hawajabana ujue wanawaiga watangazaji wa chanel zngne.. Mfano mtofautishe mshkaji wa kipindi cha clouds tv cha 20 za town (km wanavyoita) na mtangazi wa Uswazi {sijui km bdo yupo} au Planet Bongo wa EATV.. Shame on them, copy and paste people..
Halafu ukiangalia vipindi vingi wamecopy EATv inatia kinyaaa... Clouds Tv kuweni creative mnaboa.