CLOUDS si redio ya Kusikiliza

kwani ni lazima clouds waipende chadema,au uhai wa chadema upo mikononi mwa clouds,stop kutegemea mibuyu,clouds sio redio ya chama,wana uhuru wa kuamua nn washabikie na nn wasishabibie na ukute editorial policy yao ndo inasema hivyo....
 
Yani watangazaji wa ile RADIO kwanza ni makuwadi wa mawaziri wanachojua ni kusifia CCM ili waendelee na kibarua chao cha kutafutia warembo viongozi wa serikali lakini kama haitoshi wameacha ueledi na maslai mapana ya kijamii pembeni hapa namaanisha maslai ya jamii ni kuona RADIO HURU inafanya kazi bila kufungamana na upande wowote na ueledi ni kufata miiko na maadili ya uandishi wa habari na sheria zake ila waache waendelee sisi tunaona na kuna siku wataona hukumu yao itakavyowadia ghafla.
 
kwani ni lazima clouds waipende chadema,au uhai wa chadema upo mikononi mwa clouds,stop kutegemea mibuyu,clouds sio redio ya chama,wana uhuru wa kuamua nn washabikie na nn wasishabibie na ukute editorial policy yao ndo inasema hivyo....

Hawana uhuru wa kuamua nini washabikie emu izo pumba zako kazipeleke kwa dada zako wakusaidie ata kukupa mwongozo sababu wewe utakuwa umepakatwa na mzee wa VIJISENTI.
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

Hakuna hoja hapa. Ni mtazamo tu.
 
hiyo radio ya malimbukeni inapenda kujipendekeza sana kwa mafisadi.
nimefurahi sana walivyotoweka startimes kwa ufinyu wa vifaa vya dital.
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

Wenzio tumeikemea hiyo hali kwa KUACHA kusikiliza hiyo radio. Wasikilizaji waliobakia ni wale wanaopenda pia kusoma magazeti ya Shigongo. Mtu makini hawezi kusikiliza hiyo Radio ya WAFU...

Radio zitakapoingia DIJITALI ndio mtajua kuwa hiyo radio imebakiza wasikilizaji wachache, kwa sasa inatembela Nyota ya zamani b4 haijaajiri wachovu kama Kibonde, Hando na LovenessLove
 
Hawana uhuru wa kuamua nini washabikie emu izo pumba zako kazipeleke kwa dada zako wakusaidie ata kukupa mwongozo sababu wewe utakuwa umepakatwa na mzee wa VIJISENTI.
Kama wewe ni mtu mstrabu(kitu ambacho naamini ndivyo ulivyo)utaniomba msamaha,lkn pia kama umeenda shule na kuelimika,na kama kichwa chako hakina funza,basi utakumbuka hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mbunge malima bungeni juu ya Mengi kutokuzipa habari za rais kipaumbele kwenye taarifa ya habari......otherwise nahisi you are disappointment to JF thinkers kwa kudhani kuwa kila anayeshabikia chadema lazima aichukie clouds fm au kila mwana CCM lazima alipende gazeti laq uhuru.Shame on your forefathers for bringing a tabula rasa like you in this forum.After all Kibonde sio mmiliki wa ile redio ni mtanagazi tu,ameajiriwa kwa editorial policy ya redio,hawezi kufanya kinyume,kosa lake lipi?aache kazi mamako ndo atamwajiri!!!!!!!
 
Saa nyingine Pro Chadema kama mnavuta bangi.Ni kitu gani umeleta hapa.Nenda kawambia watoto wa chekechea sio watu wazima huku wanajichagulia wanachokitaka kwa manufaa yao.Peleka uchama wako huko
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.[/QU ungeanza kwanza kuwashauri TANZANIA DAIMA waache unazi uliopitiliza kwa chama cha mmiliki wao kwa mantik ileile uloiandika hapo juu kwakuwa kwako ww CDM wakikosolewa basi chombo kinakuwa kibaguzi.
 
jenga hoja lete humu jf, kile ambacho unaona CLOUDS FM, haijakitendea haki chama chako unachokipenda. ili nasi tupime hata humu jf, wapo /tupo wachangiaji wenye mrengo huohuo wa PAUL JAMES SWEYA, GERALD HANDO NA EPHRAEM KIBONDE. sasa kama umetambua hilo sote tujirekebishe tujadili hoja, sio watu na mapenzi ya chama. angalizo lako ni zuri si radio pekee yenye kuweza kujenga ushawishi wa shari hata forums za kijamii kama hatutajitambua kuwa TANZANIA KWANZA.
 
Ila haikuwa ishu ya kufungulia thread.. kila mtu anasikiliza kwa malengo yake.
Si wote wanaosikiliza wanaipenda.
Mkuu Salva Rweyemamu wa miaka ya zamani, nilipata kukutana naye Chef's cafe wakati akiwa kwenye kampuni ya Heko nadhani... lakini alikuwa na rundo la magazeti yaliyotoka siku hiyo.. Imagine budget ya kampuni yake inanunua magazeti ya kampuni nyingine..tena kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Time will tell.., peoplessssssss....
Ngoja CDM kitakapokuwa chama tawala tuone kama wataendelea kukiponda.
Adui mpende hata kama hakupendi.., dunia duara what goes around comes around.
Heri ya mwaka mpya.

kuna njama nyingi za chama tawala (CCM) kwahiyo kuna uwezekano kila kitu kikawa kinapelekwa pelekwa tu lakini sina imani kama hao wanaoshabikia kihivyo kwamba wanajua madhara yake
 
Hao Clouds wana matatizo,hata kucheza nyimbo za wasanii mpaka wapewe rushwa ndo huzicheza.ndo maana mheshimiwa Sugu alikua na bifu nao kwa ajil y ujinga wao!worry not siku zao znahesabika!
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

Kaka wasikuumize kuchwa wagonjwa hao...
 
Back
Top Bottom