Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Nimesikia asubuhi hii Clouds FM wakirudia sehemu ya hotuba ya matusi ya Lusinde redioni huku watangazaji wakishangilia. Jee hii inamaanisha nini katika jamii? Maadili ya utangazaji yanasemaje kuhusu kitendo kama hiki?
 
Waache washangilie habari wataipata hivi karibuni kwani tumeshaanza taratibu za kumshughulikia.
 
ngoja warushe, tbc walitubania....sioni ubaya bora hawajamsingizia wala kuhariri, watz wengi wajue
aina ya viongozi tulionao na uwezo wao......KUDADADEKI.
 
Kushangilia matusi kwa wale watangazaji kunamaanisha nini?
 
Hako kabwana kamenishangaza na kunisikitiosha sana leo maana kalikuwa kakicheka sana any way kumbe ushindi ule umewaangusha wengi sana hasa vibaraka ndio wanahaha sana,
 
Tafadhali sana,mu burn nakala nyingi za hiyo clip ya matusi yake mtawanye bure jimboni kwake ili watoto,watu wazima na wazazi wake wajue aina ya kiongozi waliyenaye.Ikiwezekana hata mawilayani all over Tanzania mtusambazie watu wata burn kwa gharama zao,kuna vijana naishi nao jirani niliwaonyesha hiyo clip kwenye lapto ya Lusinde anavyobwabwaja,mmoja wao ambaye alikuwa mwanachama wa CCM karudisha kadi juzi.Hakuna alieamini kuwa matusi yale yanatolewa na mtu mwenye dhamana ya kuongoza wananchi.
 
Kwa kweli hawakua wakishangialiana kama kweli hawakua wakishangialia na kama mtakua mnamfuatilia vizuri Gerald Hando si mwana ccm kwa kweli,kwa sababu sehemu yakile kipande ilitaka kutoa ujumbe kua walotiwa Mimba kwa sasa ni CcM ya Lusinde na sio Dr kama kichaa Lusinde alivyotaka kutuaminisha,thats all about
 
Chama chake kinalea wahun, mbona hawatak kuliongelea swala hil? 2kichunguza sn nadhan ht familia yake itakuwa inapata shida sn kuish na lusinde.
 
Kwa kweli hawakua wakishangialiana kama kweli hawakua wakishangialia na kama mtakua mnamfuatilia vizuri Gerald Hando si mwana ccm kwa kweli,kwa sababu sehemu yakile kipande ilitaka kutoa ujumbe kua walotiwa Mimba kwa sasa ni CcM ya Lusinde na sio Dr kama kichaa Lusinde alivyotaka kutuaminisha,thats all about
 
kwa kuongezea, ndugu yangu lameck (aliyekua mgombea 2010) angechua hiyo clip halafu angekuwa anafunga tv kubwa uwanjani na kuwaarika wananchi na kuwaonyesha yaaani kwa maana ni kampeni ya jimboni kwake kuwaonyesha aina ya mbunge waliye nao.
 
walikiwa wana mkejeli na kumbeza na sio kushangilia.
me nimependa PB walivyo weka maana wengi tulikuwa hatujayasikia
matusi yenyewe zaidi ya kuyasoma tu.
 
Back
Top Bottom