Clouds Media kuwa mbadala wa TBC ni sahihi?

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
WaJF,

Poleni kwa sinema zinazoendelea, naombeni kujulishwa labda kutoelewa kwangu.

Eti viongozi wa nchi hii kuzungumzia matatizo ya wananchi kupitia CLOUDS ni sahihi?

Kwanini sio TBC/RADIO UHURU ambazo ni za serikali na zenye kundeshwa kwa kodi zetu??
au kuna posho au hisa huko Clouds!

Jamani naombeni maoni yenu.
 
Hata mie inanishangaza sana.tunazo media za uma au ndo hazuna kiwango,au wananchi hawasikilizi??ninabaki na maswali kibao!!!!!
 
WaJF poleni kwa cinema zinazoendelea,naombeni kujulishwa labda kutoelewa kwangu
Eti viongozi wa nchi hii kuzungumzia matatizo ya wananchi kupitia CLOUDS ni sahihi??
kwa nini sio TBC/RADIO UHURU ambazo ni za serikali na zenye kundeshwa kwa kodi zetu??
au kuna posho au hisa huko clouds!! jamani naombeni maoni yenu.

Kwenye RED sio...hauihusiki

Pili ama ni halali au si halali sijibu hilo kwa sasa lakini nijuavyo wanene hawa hualikwa na wahariri wa vyombo hivyo sasa kama hao ulowataja hawajamualika sidhani kama kama anaweza tu kwenda otherwise akiamua hivyo yeye mwenyewe ataomba kama kuna jambo analotaka kuadress.
 
wananchi wanatakiwa kupata habari kupitia radio yao si suala la kualikwa!!
kuna udhaifu hapa
 
Excellent.........
 
jamani kila siku mada ya redio ya wafu hamuchokiii wajamini?

Tatizo hapa ni unafiki watu wanaipenda sana na wanaisikiliza sana ila hapa jukwaani ni avatar tu zinaipinga...ukitaka kujua ona jinsi live newz za clouds zinavyorushwa humu.
 
wananchi wanatakiwa kupata habari kupitia radio yao si suala la kualikwa!!
kuna udhaifu hapa

Udhaifu uko kwenye hizo tbc na redio uhuru kutofanya kazi yao.......CLOUDS wana haki ya kumuita na kumuhoji kiongozi yoyote nchi hii.......
 
Hivi walienda kumfuata aje kuzungumzia hilo swala au yeye alienda.hapo ndo itakua mwanzo wa kusema.
 
Tatizo hapa ni unafiki watu wanaipenda sana na wanaisikiliza sana ila hapa jukwaani ni avatar tu zinaipinga...ukitaka kujua ona jinsi live newz za clouds zinavyorushwa humu.

mnafiki wewe usielewa kinachozungumziwa!!!
kuna siku niliwahi kukuambia siwasikilizi?? kama sio ubongo maji wako!!
 
WaJF poleni kwa cinema zinazoendelea,naombeni kujulishwa labda kutoelewa kwangu
Eti viongozi wa nchi hii kuzungumzia matatizo ya wananchi kupitia CLOUDS ni sahihi??
kwa nini sio TBC/RADIO UHURU ambazo ni za serikali na zenye kundeshwa kwa kodi zetu??
au kuna posho au hisa huko clouds!! jamani naombeni maoni yenu.

radio uhuru ya serikali???????
 
mnafiki wewe usielewa kinachozungumziwa!!!
kuna siku niliwahi kukuambia siwasikilizi?? kama sio ubongo maji wako!!

Pole kwauguswa...nilirusha jiwe gizani nikawa nasikilizia...... kumbe mpo.....By the way niliyekuwa nikimjibu kaelewa sasa wewe povu la nini ilihali hoja haikuelekezwa kwako??(nadhani mwenye ubongo maji atakuwa amejidhihirisha hapo)....

La mwisho kama angetumia REDIO za serekali (according to you) wewe ungalimsikia wapi wakati unasikiliza clouds...
 
mkirua una lako jambo, hapo ishu sio kuisikiliza ishu ni kuijadili humu kila uchao
yapo ya msingi zaidi kuzungumzia na sio kujadili clouds hapa.

mtoa mada bora uende ktk webpage yao andika hizo mada zako utaelezwa kwa nini wadosi wanaitumia clouds
 
Back
Top Bottom