Una umri gani ?Wakuuu habarii za asubuhiii
Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira.
Naomba kuwasisha tafadhali
Achilia mbali hawa walipo, kuna wachezaji wengine watasajiliwa msimu unaofuatia, na watafananishwa tu na Triple CYaan .....
Chama vs feisal
Chama vs ajibu
Chama vs aziz ki
Chama vs ntibanzo...
Chama vs akaminko
Chama vs pape sakho
Sasa ni chama vs boban..
Hadi hapo hamjapata majibu nani bora.....
Anaongoza kwa assist NBCPLchama anachenga 1 tu,kufinya basi,ni goi goi tu
na mabeki wameishindwa hiyo hiyo mojachama anachenga 1 tu,kufinya basi,ni goi goi tu
Yaani shidaa tuYaan .....
Chama vs feisal
Chama vs ajibu
Chama vs aziz ki
Chama vs ntibanzo...
Chama vs akaminko
Chama vs pape sakho
Sasa ni chama vs boban..
Hadi hapo hamjapata majibu nani bora.....
we mdogo sana au mpira umeauanza juzjuz..Wakuuu habarii za asubuhiii
Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira.
Naomba kuwasisha tafadhali