Kijiti
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 190
- 27
Habar wana jamvi la humu,
Naombeni kujuzwa kitu wana jamvi,ukiwa na CISA how valuable are you to the job market? Nawezaje kupata info za wapi kwenda ili niweze kupata review class ya CISA na hatimaye nifanye pepa lake.
Naomba ushirikiano wenu wana jamvi.
Unaweza pia ni pm for more thanks............................................................