CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

Pheeew,
Now we are getting somewhere.
superman-slam-dunk-champion-mba-2008.jpg


I have asked a couple times here why Nyerere relinguished power, cos that dude was kind of a dictator. I think he realised he couldnt act like what Mugabe is doing now. For that I respect Nyerere. Alikubali yaishe.
 
Interest gani hizo za Waisrael? Watu wenyewe kwanza hata hawajaendelea hivyo sasa hizo interest zao zinazosababisha hayo matatizo ya dunia ni zipi? Wamarekani kila mwaka wanawapa mabilioni ya dola. I smell a kind of anti-semitism here......blame the Jews for everything...

Kama Hujui, Hata hiyo CIA unayoita wewe Ilianziswa na muisrael ,Well Ninajua Utakataa lakini Huo ndio Ukweli. Ukiangalia Historia ya Federal Reserve ya USA which is equivalent to BOT kwa Tanzania, Tangia mwaka 1972 magavana ni Waisrael the same as CIA,Wordbank and IFM go in details to those organisation to their chief personal Details you will understand waht I am saying. On top of that ninaushauri u copy and paste this link on ur browser so u can have a full reserched paper with eveidences from havard university

link hiyo http://ksgnotes1.harvard.edu/Research/wpaper.nsf/rwp/RWP06-011/$File/rwp_06_011_walt.pdf

Natatizo kubwa watu hawana Uhuru wa kuwaongelea waisrel na matatizo wanayayoleta duniani kwasababu inaonekana kama ni zambi, I dont why?
 
nyani ngabu mwambie obama aseme kwamba anataka jerusalem iwe capital ya wapalestina,trust me,ndoto za urais zitaisha hapohapo
 
Nyinyi mnazidisha chumvi sasa......hizi myth za Waisraeli zipo nyingi sana....
 
To search for declassified CIA documents go to http://www.foia.cia.gov/

Experience yangu ni kuwa nyingi zinakuwa na reductions kibao mpaka kuzifanya kuwa meningless, utakuta majina ya watu na sehemu muhimu mengi yameondolewa.

True dat.....huwa wana blackout vitu ambavyo hawataki tujue....and who is to say vitu vingine havijaongezwa....
 
Nyinyi mnazidisha chumvi sasa......hizi myth za Waisraeli zipo nyingi sana....

Wewe ndio nakuwa mzito wa kuelewa, Waisrael wanaicontrol dunia kwa kutumia siasa za marekani na Uingereza, Tatu kwa kutumia Freemasons , Unahitaji kufanya research yako Mwenyewe.

Harafu Ukisema Israel ni nchi masikini sikuelewi, Waisrael wanoishi israel ni wachache kuliko wanaokaa nje ya Israel. Marekani ina waisrael about 50 Million (Ohio,Frolida,New York and Califonia) Hapo ndipo wengi wanaishi.Hao ni wamerakani tu bado wanaoishi mataifa mengine Duniani,

Ninakushauri Ufanye ur research then you will understand what I am saying.

Nikimuunga mkono jamaa Obama hawezi kufika popote akiwadis waisrael, Cmaping manger wa Obama and Chief Strategist ni waisrael David Plouffe,

and David Axelrod

have a look there http://en.wikipedia.org/wiki/David_Axelrod_(political_consultant)
 
Wewe ndio nakuwa mzito wa kuelewa, Waisrael wanaicontrol dunia kwa kutumia siasa za marekani na Uingereza, Tatu kwa kutumia Freemasons , Unahitaji kufanya research yako Mwenyewe.

Harafu Ukisema Israel ni nchi masikini sikuelewi, Waisrael wanoishi israel ni wachache kuliko wanaokaa nje ya Israel. Marekani ina waisrael about 50 Million (Ohio,Frolida,New York and Califonia) Hapo ndipo wengi wanaishi.Hao ni wamerakani tu bado wanaoishi mataifa mengine Duniani,

Ninakushauri Ufanye ur research then you will understand what I am saying.

Nikimuunga mkono jamaa Obama hawezi kufika popote akiwadis waisrael, Cmaping manger wa Obama and Chief Strategist ni waisrael David Plouffe,

and David Axelrod

have a look there http://en.wikipedia.org/wiki/David_Axelrod_(political_consultant)

Marekani ina waisrael about 50 Million

Mazee,

You mean 5 million au 50 million? If you mean 50 you need to double check your sources.

Waisraeli ni nani? Tofautisha Waisraeli na Jews, Uisraeli ni utaifa while Judaism / kuwa Jews ni an ethnoreligious entity.
 
Wewe ndio nakuwa mzito wa kuelewa, Waisrael wanaicontrol dunia kwa kutumia siasa za marekani na Uingereza, Tatu kwa kutumia Freemasons , Unahitaji kufanya research yako Mwenyewe.

Harafu Ukisema Israel ni nchi masikini sikuelewi, Waisrael wanoishi israel ni wachache kuliko wanaokaa nje ya Israel. Marekani ina waisrael about 50 Million (Ohio,Frolida,New York and Califonia) Hapo ndipo wengi wanaishi.Hao ni wamerakani tu bado wanaoishi mataifa mengine Duniani,

Ninakushauri Ufanye ur research then you will understand what I am saying.

Nikimuunga mkono jamaa Obama hawezi kufika popote akiwadis waisrael, Cmaping manger wa Obama and Chief Strategist ni waisrael David Plouffe,

and David Axelrod

have a look there http://en.wikipedia.org/wiki/David_Axelrod_(political_consultant)

Wow..wow...wow...wait a minute here...una maana gani...Waisraeli as in Jews au? Maana katika population ya Marekani weusi wako karibu millioni 40 na wana account 13% of the population. Nijuavyo mimi Jewish population ya Marekani ni millioni 2-3.

Hii ya Waisraeli ku-control dunia ni myth tu isiyo na kichwa wala miguu....
 
Hapa hamna lolote. Tanzania enzi hizo ilikuwa maskini wa kutupwa. Kama ni kweli Wamarekani walikoseshwa usingizi na sera za Nyerere basi walichemsha. Bado siamini....hizi ni stori tu.

Nyani Ngabu,

Kweli uko serious ama haufahamu historia ya Tanzania. Ningependa kujua wakati tunapata uhuru Dec 9th, 1961 ulikuwa na umri gani. This will explain your being sarcastic. Natanguliza samahani kama nitakuwa nimekosea kuuliza hili, cheers.
 
Nyani Ngabu,

Kweli uko serious ama haufahamu historia ya Tanzania. Ningependa kujua wakati tunapata uhuru Dec 9th, 1961 ulikuwa na umri gani. This will explain your being sarcastic. Natanguliza samahani kama nitakuwa nimekosea kuuliza hili, cheers.

Nilikuwa hata sijawa wazo kwa wazazi wangu.....
 
when the state of ISRAEL,ina tatizo lolote all JEWS worldwide,irrespective kwamba ni waisrael or no side with this state.na kwasababu directly or indirectly ni watawala duniani,ndio maana watu kama obama irrespective of his wishes,have to dance to their tunes.countries kama egypt zimestuka long time ago,kwamba to take on israel in war,is to put oneself in a no win situation
 
when the state of ISRAEL,ina tatizo lolote all JEWS worldwide,irrespective kwamba ni waisrael or no side with this state.na kwasababu directly or indirectly ni watawala duniani,ndio maana watu kama obama irrespective of his wishes,have to dance to their tunes.countries kama egypt zimestuka long time ago,kwamba to take on israel in war,is to put oneself in a no win situation

Hao Waisraeli wameanza lini kutawala dunia?
 
the moment,adolf hitler,alipoanza kuprosecute jews,akasababisha,vichwa kama albert einstein kukimbia germany- the moment israel was created,hivi vichwa through positions walizokamata america and elsewhere,through lobbying and financial muscles wakaiweka israel at the centre of everything,GOOD and BAD
 
Some references za Tanzania kwenye National Archive:

President's Interest in African Affairs

At his request, I met with Bill Moyers this morning to get from him the President's thinking on African affairs. Bill explained that he was discussing this with me because both you and Bob Komer were swamped with more pressing matters.

In the course of a dinner conversation with Bill last night, the President expressed his concern that the US lay a solid foundation for good relations with a continent which will become increasingly important. The President's night-reading on African affairs had aroused this concern. The subjects of his special interest are summarized below:...

2. Tanzania-Zambia Railroad Study--The President has come around to the point of view that the US should cooperate with the British in doing a survey of the Tanzania-Zambia Railroad. However, this involves no commitment on the part of the US to construct a railroad. Juni 15, 2007

na hapa:

wanakiita Checklist of African Problems:

4: Steady Nuisances:

c) Tanzania--Under the mercurial and fiercely independent leadership of Nyerere, Tanzania is the bastion of radicalism in East Africa. Soviet and Chicom influence is considerable, especially in Zanzibar. June 8, 1996

The Americans took a lead from Nyerere:

An Arms Control Initiative

Suppose, in this context, that the President were to announce a policy of "Safe Conduct for Development" in Africa. Its elements might be the following:

--U.S. support for an African disarmament conference to develop arms control rules and techniques for enforcing them. (Tanzanian President Nyerere has already mentioned such a conference publicly; with some encouragement, he might formally propose it. It would be important that the proposal come first from an African leader.) Sept 12, 1966


National Security Estimates Oct 21, 1976

98. Tanzania. During the past two years Moscow has expanded its ties with Dar es Salaam. New arms agreements—the first since the mid-1960s—have put the total value of Soviet military aid on a par with the Chinese. Soviet interests in Tanzania are more than mere rivalry with the PRC. Tanzania's
proximity to Mozambique and Rhodesia offers the Soviets channels to anti-Rhodesian liberation groups that traditionally have been based in Tanzania.

99. Tanzania was also the locus of the most extensive PRC activity in Africa, notably the recently completed TanZam railway project. Prior to 1974 China had been the principal supplier of military assistance and will probably remain the major donor of economic aid. During the past few years some friction has developed between China and Tanzania over China's military assistance.
In this atmosphere Moscow has significantly increased its military aid and has established a military advisory mission there.

Miaka mitano kabla yake, Wamerekani katika hicho hicho wanachokiita National Security Estimates waliandika hivi:

TROUBLES IN EAST AFRICA

NOTE
For the purposes of this estimate, we are defining East Africa to include Kenya, Uganda, Tanzania, and Zambia. Though Zambia was not part of the traditional geographic area of British East Africa, its growing economic and political ties with Tanzania warrant its inclusion. Our principal judgments about the future of the area are contained in paragraphs 38-48...

....C. Tanzania

20. Julius Nyerere, who calls himself Mwalimu (the teacher), probably has the most ambitious plans of any African leader for reordering the structure of his society (e.g., through communal villages and educational reforms designed to convince students of the virtues of farming). His program is, in a sense, the reversal of the standard concept of modernization through urban development, industrialization, and the cultivation ofan educated elite. But, despite Nyerere's charm and personal appeal, his schemes have not caught on. The peasants resist changes in their traditional ways of doing things; the students still strive for desk jobs in the cities; and government officials, unlike Nyerere, are not convinced of the virtues of personal austerity. Though Nyerere does not have to con-tend with serious tribal problems, he nonetheless labors under some pretty heavy burdens.

21. Nyerere is an impulsive leader who dominates Tanzanian political life. He is occasionally influenced by radicals in the Tanganyika African National Union (TANU ), the official party. Two of his most recent initiatives, the Acquisition of Property Act and the creation of a People's Militia,—taken after TANU prodding—have aroused considerable concern and some potentially significant op-position. The property act enabled the government to acquire all rental housing valued at more than $14,000. In one fell swoop, Tanzanian businessmen and officials were deprived of their last safe investment opportunity and much of their revenue and source of collateral. Most affected were the prosperous Asians, whose unpopularity and political weakness made them an easy target. Many of the most skilled and talented members of the Asian community have fled the country, including members of the Aga Khan's Ismaili sect. Most of the Ismailis had become Tanzanian citizens and contributed a great deal to the country, but the Aga Khan recently came to fear for their safety. He is now suggesting that they leave while they can still salvage something. The exodus represents not only a loss of critically needed skills and entrepreneurship, but a substantial drain as well on Tanzania's already slender foreign exchange holdings. Moreover, as Asians have closed down their businesses and halted their building projects, a large number of Africans have been thrown out of work. Consumer shortages and rising prices add to the economic malaise and, if prolonged, will feed the general dissatisfaction with Nyerere.

22. The establishment of a civilian People's Militia, in the wake of the coup in Uganda, was designed in part as a deterrent to a military coup in Tanzania. It may instead have laid the groundwork for one. In other African countries, e.g., in Ghana and Mali, the creation of a rival militia of this sort triggered an angry outburst in the army. While we do not know much about attitudes within the Tanzanian Army, it is clear that the level of grumbling has increased. One of the most common complaints is over the presence of as many as 600 Chinese advisors with the armed forces; other grounds for dissatisfaction include the attention given to supporting Ugandan exiles and general misgivings over Nyerere's brinkmanship in dealings with Amin's regime. So far discontent within the army has been passive, and there are no identifiable cliques in the officer corps.

23. Mainland Tanzania's relations with Zanzibar have always been shaky. Nyerere engineered the federation between Tanganyika and Zanzibar in 1964 because he feared the spread of radical influences to the mainland. Sheikh Karume, the dominant figure in Zanzibar's Revolutionary Council, felt the need for support and protection so that he could consolidate his control over the island. These concerns are no longer so important. Despite the union, Zanzibar has retained independence in most fields and remains a brutal police state run on the whims of an arbitrary clique. Karume, who is also First Vice-President of Tanzania, resented Nyerere's interference in his persecution of the Arabs and Asians left on the island. He now fears that Nyerere's government is trying to gain control over Zanzibar's relatively hefty foreign exchange re-serves. The two leaders will probably continueto make compromises in order to keep the union going, partly because their prestige would suffer if it were dissolved. Thus the union is likely to muddle along as long as Nyerere and Karume are in power, but few other Tanzanians would mourn its passing.

.....


Nyerere takes a rather different approach. He admires the Chinese organizational ability and work discipline, and has expressed his hope that his countrymen can learn from the Chinese example. At the same time, Nyerere is wary of Chinese political indoctrination.

31. Since the departure of the Canadian military mission in 1970, the Chinese Communists have become the sole suppliers, ad-visors, and trainers of the Tanzanian Armed Forces. They are directing the construction of new naval facilities, rare in East Africa, at Dar es Salaam and helping to develop air and naval units as well. Nearly 350 Tanzanian naval and air force personnel are being trained in Communist China. Chinese advisors are working closely with Tanzanian army and militia units, but Tanzanian senior officers have been careful to keep Chinese advisors out of the general command structure.

32. The Soviets may be displeased about the magnitude of the Chinese effort in Tanzania and Zambia, but they have shown little inclination to compete with China to win friends and influence governments. Russian aid programs are small, credits extended earlier have not been drawn down, and terms offered by Moscow are not deemed very generous by Nyerere or Kaunda. In Zanzibar, the Soviet (and East German) aid programs have been displaced by Chinese programs.

....36. The UK was initially delighted with Obote's overthrow in Uganda, and its quick recognition of the new regime probably helped to deter Tanzania from mounting a military operation against Amin. Amin's subsequent behavior, however, has left the British with mixed feelings: pleasure that Amin has moderated some of Obote's nationalization programs, but concern about Amin's jingoism, excessive military spending, and his disruptive effect on East African regional affairs. The UK has turned down Amin's more outlandish requests for military assistance against the Tanzanians and Chinese (e.g., mounting a naval blockade).

37. Neither the British nor the US Governments have much influence in Tanzania or Zambia these days. These regimes have nationalized most foreign holdings, and Zambia has a controlling interest in its copper industry. If Zambia should see advantages in changing the terms of settlement, it would not hesitate to do so. At this point, Kaunda's government seems satisfied. Both Kaunda and Nyerere proclaim non-alignment as the fundamental principle of their foreign policies, but this is often expressed in an anti-West fashion. Yet they want to maintain good relations with the West. This concern, plus thelack of many more foreign interests to nationalize, and the realization that there is no point in looking to the West for much assistance in the liberation of southern Africa, will probably combine to make for a less abrasive but also a looser relationship with the West in the long run.

...

Na kuhusu Political Stability waliandika hivi, wakiwa wanafuatilia vinavyoendelea Tanzania:

44. In Tanzania, Julius Nyerere's main source of power lies in the support of the people for his position as the national leader and "teacher." Nevertheless, despite the high esteem in which he is held by his countrymen, the people of Tanzania have never been very enthusiastic about his programs. This does not mean that we expect a popular uprising. Tanzanians are more likely simply to ignore exhortations or to grumble as they are adversely affected by his schemes. But, if the army threatened to unseat Nyerere, there would be little movement to support him. The army might seek to oust Nyerere if it felt threatened by the rival People's Militia, Chinese influence, or witch hunts. Other moderate elements in the civil service, political elite, and business community would probably welcome a change. Nyerere's position will become less secure if the economy continues to suffer from his rash moves or if he embarks on repressive measures to enforce his nation-building efforts.

hivyo ni vichache tu...
 
when the state of ISRAEL,ina tatizo lolote all JEWS worldwide,irrespective kwamba ni waisrael or no side with this state.na kwasababu directly or indirectly ni watawala duniani,ndio maana watu kama obama irrespective of his wishes,have to dance to their tunes.countries kama egypt zimestuka long time ago,kwamba to take on israel in war,is to put oneself in a no win situation

Sijui kama hapa nyumbani tuna ubalozi wa ISRAEL,
 
Nilikuwa hata sijawa wazo kwa wazazi wangu.....

That explains a lot of things lol. Ever wondered why Tanganyika was a territory, Kenya a colony and Uganda a protectorate under the British ? Ever wondered why Tanganyika got its independence on a silver platter ? Ever wondered why during the early years after independence Tanganyika/Tanzania received a very special attention from all the so called developed nations ? Ever wondered why you cannot discuss the histories of Southern African countries without mentioning Nyerere ? Ever wondered why Nyerere was a threat to the US/UK investments in South Africa if Ujamaa succeeded ? Ever gave a thought why Nyerere in spite of being known as the greatest African Statesman, is least known in the western world ? etc etc.....

I will tell you why - Nyerere was the only one who could sit at their table, look them in the eyes and tell them to go shove it. He could reason with them and at the end of it all, they would leave shaking their heads and wonder where the devil came from. They would talk all they want behind his back and never to his face. Come sun or rain they were never going to let this SOB's experiments succeed. For your info Ngabo, Tanganyika at independence was an untapped goldmine.
 
Back
Top Bottom