Chuo

scolastika

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
3,779
5,551
Kuna dogo kapata four ya 32 sasa anatafta chuo cha maendeleo ya jamii kwa hzo gred kipo kweli,?,kama kitapatikana naomba msaada maana mama yake anahangaika kwel
 
Kipooo mkuuu kunapatikana mwanza Dodoma namaeneoo mengne niyeye tyuuu
Kuna dogo kapata four ya 32 sasa anatafta chuo cha maendeleo ya jamii kwa hzo gred kipo kweli,?,kama kitapatikana naomba msaada maana mama yake anahangaika kwel
 
Kajinga tu kana D moja na C moja zingine zote F alafu mama yake alivo na makonditions utadhan dogo kafaulu
 
Back
Top Bottom