SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 252
- 488
Habari wadau kuna mdogo wangu amemaliza Form Six (HKL) matokeo yake ni DEE. Kwahiyo nimemshauri akasome Certifcate ya Elim Maalum Patandi hata kwa Kutumia cheti cha form four maana ana Div One. Naomba Mwongozo napataje nafasi chuo cha Patandi, au kama kuna wahusika hapa naweza pata contact niwasiliane nao.
Asanteni Sana
Asanteni Sana