Chuo kipi kinawanawake wazuri na warembo

Kuna siku nilienda kwenye ofisi ya Waziri Mkuu geti la kuingia kwenye ofisi yake linatazamana na Chuo cha Magogoni dah purukushani niliyoikuta huko kwenye hicho chuo mhhh
kaka funguka ili tuwe motivated.maana pale huwa napachukulia ki kawaida sana
 
Kwa wale wamepita IFM wakati wa Lunch, pale Holiday Out kuna totoz balaa..

Halafu wengi wana matizo ya chakula, kuna jamaa yangu alikuwa amewekeza pale kwa mabinti wawili.

Ikifika usiku anapitia sekela mbili pale upanga anapeleka IFM...lol
 
1. Ifm
2. Udom
3. Dit
4. Mzumbe
5.sua


vingine mtaniwia radhi, subirini 2015.

kama kila mtu anavigezo vyake vya uzuri ...........mimi naona ud ndo funiko....! maana kwangu urembo ni akili and not sura....

tumia akili usilete siasa humu
 
vyuo vyote vina warembo ila vingine kutokana na nature ya masomo yao na ugumu wa shule wanasahau kuonyesha urembo wao!!!
 
Back
Top Bottom