Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Kwa mfano kwa mwamposa kuna maombi ya maji ya baraka wananyunyuziwa maji kwa viwango vya pesa kuna 50k , 40k, 30k na hapo sasa wajinga wanatoa eti wanapewa baraka na kuombewa mafanikio yaani bila kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa huwezi kufanikiwa.lakini watu kama wamerogwa vile
Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Silaha kubwa sana ya biblia na quran ni vitisho na hadithi za kusadikika, ili kuwafanya watu wawe wanyenyekevu yaani mazuzu, kwa mfano kuna mstari kwenye bible unasema asiefanya kazi na asile halafu kuna mstari mwingine unassema kesheni mkiomba sasa kuna wajinga wanakesha wakiomba then kazi hawafanyi kwa ufanisi halafu utawaona wanalia njaa,
Mbaya zaidi wanafundisha mafunzo hayo kwa vitoto vidogo...wana vi brainwash hatari.

Dini/iman ni ugonjwa mbaya sana wa akili kuwahi kuikumba dunia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuchapa viboko wanafunzi wa rika hlil ni upumbavu; inatokana na mtu kukosa hekima ya malezi kwa watoto!
 
Nikutowe kwenye reli ipi wewe poyoyo? Nyie ndiyo mnazua uongo, vipi ukiite chuo cha "Kiislaam" wakati siyo chuo cha Kiislaam? Mna maana gani mnapozua kwenye jibichwa lenu la habari?

Au ni wajinga kiasi hamuelewi maana ya Waislam na Kiislam?

Au mnajazana chuki za kijinga kwa "Uislam in general", mimi nawauliza, Uislam umewakosea nini au umefundisha kipi kibaya hata muwe na chuki za kijinga namna hiyo? Au ni mashetani tu, maana hakuna binadam anaeweza kujitungia chuki tu isipokuwa ana ushetani wa hali ya juu bichwani mwake.
Tukiweka kando hayo mambo ya chuki za kidini ambazo ni sahihi kabisa kuzikemea ila kwenye hii video huyu Ostaz ningemvunja mfupa wa pua kabla hajainua hiyo fimbo.
 
Utofauti huletwa kwa kupika wataalamu na sio mavazi wanayozaa, acheni uzwazwa. Hiko chuo ndio maana kila siku Cha mwisho, Hakuna mwenye akili aliyefaulu vizuri atasoma hapo
Umemaliza kazi. Vyuo vya kipuuzi
 
Back
Top Bottom