Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 575
dah kuna mijitu mingine jf cyo mahala pao kabisa unaelewa maana ya university?ukiwa university oa lewa jiuze vuta bangi is up 2 u cha msingi usisup na kucarry au kudisco pia chuo gani tz hakina wajawazito mi nipo ud mwaka wa 3 nipo na wangu na tumepata mtoto mwaka wa 2 tatizo nini maisha ni kupanga acha umbulula
uandishi wako huu mashaka matupuu