Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

Hiyo ni kauli ya mkuu wa mkoa wa Arusha alipokuwa akiongea na waandishi wa habari baada ya vurugu zilizotokea ndani Chuo ya cha Uhasibu Arusha.Amasema kwamba gari ya mbuge wa Arusha mjini iko katika kituo cha police pamoja na mwanasheria wa mbunge huyo yupo kizuizini kwasasa wanamsaka mweshimiwa mbunge.
Akamatwe na nani?
 
Ukifuatilia mtiririko mzima wa matukio anayoyafanya mbunge wa jimbo la Arusaha, bwana Lema, hali hii imevuka mipaka ya kuwa mwanaharakati na badala yake imekua ni aibu sasa.

Katika hali ya kawaida kabisa, kiongozi makini hawezi kuwa na mambo ya kihuni kwa kiwango hiki, ni rai yangu kwa jamii ya kistaarabu ya Watanzania , wapenda amani na siasa safi kujitenga na Uhuni wa viongozi kama hawa wanaotumia media kujizolea sifa za kijinga, huku wakitia rehani amani na utulivu , kwa wananchi kwa ujumla wake.

Si bure, hapa kuna haja ya kumhoji huyu bwana anania gani na amani ya nchi hii.

Wosia wangu: Madhara ya kushabikia Ujinga mwishowe ni mbaya.
 
Lema hana kosa lolote wakuu.Ila mkuu wa mkoa amesema kwamba Lema ndie aliyewaamasisha wanafunzi wamzomee.Pia uongozi wa chuo wamesema kwamba hapo awali Lema aliwasaidia sana ila baada akaanza kutoa manene ya uchochezi,hii ni kwa mujibu wa uongozi wa chuoa.

Kwamujibu wauongozi wachuo baada yakulishwa maneno yakuongea namkuu au nimaneno yao wenyewe hao viongozi?
 
Yaani Mkuu wa Mkoa anataka Wana Arusha wam treat Equally na Lema, anasahau kuwa Uwepo wa Lema ni kwa kuchaguliwa na hao Wananchi na Yeye ni wa Kuletwa tu
 
Ukifuatilia mtiririko mzima wa matukio anayoyafanya mbunge wa jimbo la Arusaha, bwana Lema, hali hii imevuka mipaka ya kuwa mwanaharakati na badala yake imekua ni aibu sasa.

Katika hali ya kawaida kabisa, kiongozi makini hawezi kuwa na mambo ya kihuni kwa kiwango hiki, ni rai yangu kwa jamii ya kistaarabu ya Watanzania , wapenda amani na siasa safi kujitenga na Uhuni wa viongozi kama hawa wanaotumia media kujizolea sifa za kijinga, huku wakitia rehani amani na utulivu , kwa wananchi kwa ujumla wake.

Si bure, hapa kuna haja ya kumhoji huyu bwana anania gani na amani ya nchi hii.

Wosia wangu: Madhara ya kushabikia Ujinga mwishowe ni mbaya.
Mkuu nimekuvumilia nimechoka,nimeamua kuku add kwenye my Ignored List
 
Ni baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki dunia.

Walipotoa taarifa kwa mkuu wa chuo hawaku pata msaada wowote.

Maandamano yakaanza na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Lema,nae bila hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao ( nyimbani kwa Lema si mbali na chuo hicho ni mwendo wa dakika 3).

Mkuu wa mkoa aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada ya kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea mbovu ndipo wanachuo walipo kasirika na kuanza kumpiga mawe.

FFU nao wakaingia kazini hali ni mbaya sana lakini cha kushangaza askari mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema.

Baada ya muda msako dhidi ya Lema ulianza lakini mpaka sasa hajulikani alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.

  1. MKUU WA MKOA AKIWAHUTUBIA WANACHUO
  2. WANACHUO WAKIENDA KUMSIKILIZA MBUNGE LEMA
  3. MWANACHUO ALIYE UWAWA KWA KUCHOMWA KISUKI
  4. POLISI WAKILICHUKUA GARI LA MBUNGE LEMA
  5. {5-6}WANACHUO WAKIMSIKILIZA MBUNGE LEMA
  6. LEMA AKIWAKUSANYA WANACHUO ILI AWATULIZE

UP DATE:

WANACHUO WAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO MPAKA SASA HAKUNA MWAFAKA ULIO PATIKANA.
Bado kunawatu walioshikiwa akili wataendelea kuona Lema mbaya!
 
Mkuu wa Mkoa anatokwa povu kumuona Lema anasikilizwa na wakazi wa Arusha.
Hivi vyeo vya kikoloni vinapaswa kuondoshwa haraka.
Mtu unapoitwa Mkuu wa Mkoa inamaanisha wewe ni mkuu uliye juu kuliko wakazi wote hapa mkoani???
Hivi vyeo vyenye minajiri ya Umungu ni vya kuvipinga kwa vitendo.

Viongozi wa serikali wanapaswa Kuwa watumishi wa umma na si wafalme kama wengi wanavyo jichukulia.wabadilike na wajishushe kwa wanaowatumikia.
Wasipo badilika kizazi cha sasa kinakuadhiri maana mabadiliko hasi ya tabia yanakwenda kwa kasi.Ole wenu viongozi mabwanyenye siku zenu zinahesabika.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Lema anafahamu kosa lake ninini. Huwezi kukimbia bila kosa. Kweli makinda alikuwa sahihi kubariki kutimuliwa ili genge la wabunge

Acha mawazom ya kimasaburi wewe ulikuwepo hapo? Hya tueleze kosa lake ni nini? JK alipopopolewa mawe Mbeya Lema alikuwepo? Waache dharau wawatumikie wananchi la sivyo kuna zaidi ya hayo yanakuja.
 
RC alipofika pale aliwaahidi wanachuo kuwa matatizo yao yatashughulikiwa, na wahalifu lazima wapatikane wapelekwe kwenye vyombo vya dola.
Hapo ndipo Lema alipomwambia Mkuu wa mkoa kuwa mbona ahadi yake inafanana na ahadi aliyokwisha wahi kuitoa hapo nyuma baada ya kutokea kifo kinachofanana na hiki, ambapo mpaka leo hakuna majibu yake? Hicho ndicho kilichomwuudhi mkuu wa mkoa

Lema alikuwa sahihi kuhoji hilo, wakati huu ni wa vitendo siyo ahadi tena kama enzi hizo kukasirika kwake halikuwa suluhisho alitakiwa atoe ufafanuzi
 
Ukifuatilia mtiririko mzima wa matukio anayoyafanya mbunge wa jimbo la Arusaha, bwana Lema, hali hii imevuka mipaka ya kuwa mwanaharakati na badala yake imekua ni aibu sasa.

Katika hali ya kawaida kabisa, kiongozi makini hawezi kuwa na mambo ya kihuni kwa kiwango hiki, ni rai yangu kwa jamii ya kistaarabu ya Watanzania , wapenda amani na siasa safi kujitenga na Uhuni wa viongozi kama hawa wanaotumia media kujizolea sifa za kijinga, huku wakitia rehani amani na utulivu , kwa wananchi kwa ujumla wake.

Si bure, hapa kuna haja ya kumhoji huyu bwana anania gani na amani ya nchi hii.

Wosia wangu: Madhara ya kushabikia Ujinga mwishowe ni mbaya.

€¥€:$§£^¿{:$§»«¿{}£€€~= Serukamba we.!!!
 
Mkuu wa Mkoa anatokwa povu kumuona Lema anasikilizwa na wakazi wa Arusha.
Hivi vyeo vya kikoloni vinapaswa kuondoshwa haraka.
Mtu unapoitwa Mkuu wa Mkoa inamaanisha wewe ni mkuu uliye juu kuliko wakazi wote hapa mkoani???
Hivi vyeo vyenye minajiri ya Umungu ni vya kuvipinga kwa vitendo.

Huyu Mulongo akiendelea kubaki Arusha ataleta matatizo zaidi maana hana maadili ya Uongozi ni kama Ndugai.
 
Ni baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki dunia.

Walipotoa taarifa kwa mkuu wa chuo hawaku pata msaada wowote.

Maandamano yakaanza na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Lema,nae bila hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao ( nyimbani kwa Lema si mbali na chuo hicho ni mwendo wa dakika 3).

Mkuu wa mkoa aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada ya kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea mbovu ndipo wanachuo walipo kasirika na kuanza kumpiga mawe.

FFU nao wakaingia kazini hali ni mbaya sana lakini cha kushangaza askari mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema.

Baada ya muda msako dhidi ya Lema ulianza lakini mpaka sasa hajulikani alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.

  1. MKUU WA MKOA AKIWAHUTUBIA WANACHUO
  2. WANACHUO WAKIENDA KUMSIKILIZA MBUNGE LEMA
  3. MWANACHUO ALIYE UWAWA KWA KUCHOMWA KISUKI
  4. POLISI WAKILICHUKUA GARI LA MBUNGE LEMA
  5. {5-6}WANACHUO WAKIMSIKILIZA MBUNGE LEMA
  6. LEMA AKIWAKUSANYA WANACHUO ILI AWATULIZE

UP DATE:

WANACHUO WAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO MPAKA SASA HAKUNA MWAFAKA ULIO PATIKANA.

mkuu wa mkoa acha dharau hapa ni arusha tutakuhamisha wewe na afisa wako wa polisi hatutaki dharau cc wewe ni mtu mgodo sana. viongozi jeshi lenu ni watu hawazidi 500 hapo arusha cc tuko kwa laki tutafunga kituo cha polis na tutakutoa hapo mkoani acha dharau. mtu mwenyewe sura mbaya
 
Back
Top Bottom