Chuo cha mount meru a-town & mza cumpus

Jul 26, 2012
51
6
Jamani nikweli m2 anaweza pokelewa ktk chuo kikuu chochote hapa tz kwajili ya mafunzo ya digrii ikiwa amehitimu mafunzo ya diploma ya elimu ktk chuo cha moumt meru university bila kupitia kidato cha 6? na kinatakiwa kiwango gani cha ufaulu. nimechoka kufundisha halafu nimefikia ba wakati umri unaniita kazini. nifumbue.
 
Ndugu yangu hofu na shaka ondoa.. diploma ni level ambayo inatambuliwa hususa kwa vyuo ambavyo vimesajiliwa na TCU pamoja na NACTE.. Kwahyo chuo kikuu cha mount meru arusha.. Kimekuwa accredited na TCU kuwa university.. So diploma yake inatambuliwa na university na institute na college yeyote hapa tanzania ambayo ina offer degree.. Kwahyo kusoma degree co lazma upitie form six..
 
Back
Top Bottom