Chuo cha Mapenzi chafunguliwa Morogoro

Kuna nafasi za kazi zimetangazwa? lol... You never know... I may get Lucky! Habari yako Tuko....

Yaani umefikiri kama mimi ngoja nianze kuiedit CV yangu ikae kimapenzi-mapenzi nataka nafasi ya kuwa Dean of whatever school there is au hata DVC-FA(Female Administration).Nadhani wakati natuma maombi yangu ntapulizia manukato kwenye bahasha kuonyesha niko fit.Opppps!! Naanza kutoa maujanja kwa mshindani...
 
Ambitious utaniweza wapi? lol... Toka lini David Palmer aliyumbishwa na Mapenzi? Hakuna atakae kuamini..... Mimi ndo hasa nafaa kwa hio nafasi, CV yangu imejaa maujuzi, nawaambia hadi kile kitab cha kamasutra mimi ndio nilichapisha kiswahili chake. Niwaambia huyo Mshindani wangu Ambitious si lolote.... he is just ambitious Like Palmer was on being the first black President... lol
 
Naona unaanza kuniwekea ngumu kwenye mchakato wa kura za maoni,hapo kwenye Kamasutra nimechemsha.. Kwa hali hii na kwa heshima yako mimi nahamia kuwa Head of Academic Materials a.k.a Chief Librarian nimegundua huko kutanifaa zaidi ukizingatia ''mitaala ilivyo'' na kwa kuwa ''niko serious'' lazima nihakikishe ''vitabu vya kufundishia viko kwenye mikono salama''.
 
hahahaha.... Ambitious Muoga wa challenge wewe eeh? lol.... Haya bana, the Academic you will be, sasa will you be
my friend now that we won't b competing? ili walau tushirikiane in the name of books?
 
Ha..ha..ha mimi tunaweza kukesha hapa ila nakuwa realistic.Qualification unazo,experience yajionyesha jamvini,sera ya nchi ''wanawake wanaweza'' inakupa upperhand na mimi naiunga mkono.Mimi nahamia sehemu ambayo odds na efficiency yangu ni kubwa,usiwe na wasi kwa kuanzia vitabu tunaenda kununua Paris(english versions) huko wako fit plus chako cha kamasutra si haba.Any other ideas??
 
Kitakuwa na hostel? Na mimi naomba niwe WARDEN jamani. Niatuwa natoa extra curricula yangu ktk rooms usiku for more practices na experiences, ili kuamsha uelewa zaidi lol!
 
mkubwa naona umeamua kutuletea matangazo ya chuo chako humu...asante bana kwa kutujuza bt dat ni kuendeleza umaskin na ujinga tz.:yawn:
 
Wanataka hela tu hamna lolote toka lini mapenzi yanafundishwa siku zote mtu unajifunza kutokana na makosa........ Wao walifundishwa na nani wasitake kutuibia au na we wamekutuma uje uwatafutie soko wambie hatuji usikute wenyewe wameachika
 
Kitakuwa na hostel? Na mimi naomba niwe WARDEN jamani. Niatuwa natoa extra curricula yangu ktk rooms usiku for more practices na experiences, ili kuamsha uelewa zaidi lol!

Mie U'DEAN OF STUDENT unanifaa zaidi teh!
 
Kuna nafasi za kazi zimetangazwa? lol... You never know... I may get Lucky! Habari yako Tuko....

Ha ha haa... Wasi wasi wangu ni kuwa ukija wewe na mautaalamu yako hayo utampokonya mtu u-principle...
:welcome:
 
Back
Top Bottom