Chuo cha diplomasia Kurasini wanatuma sms kwa waliochaguliwa

daraa

Member
Aug 25, 2011
10
2
Habari wakuu,

Mimi ni mmoja wapo niliyechaguliwa chuo cha diplomasia Kurasini, kama yupo mwengine tutaftane mana niko mkoani admission inaanza sept 29
 
Dah vyuo vingine hadi nahisi njaa

Acha dharau dogo,ndo maana ccm wamewazidi ujanja wanajitungia katiba yao wanayoitaka,ujuaji wa kipuuzi umewazidi wabongo,hivyo vyuo vyko vya maana vimekusaidia nini kama sio kushinda jf na kupiga majungu tu...!!
 
dah.... hivi dunia hii kuna watu wanahoji aina ya chuo huyo dogo nazani hajawahi kukijua hicho chuo...amuulize baba yake au waliomzidi chuo sifaa ya hicho chuo.....pia sisi wengine tupo kwenye systm kitambo tunajua mambo y ajira yanaendaje hatujakurupuka....dogo kitaa kigumu....maliza na chuo chako unachojisifu uone
 
Back
Top Bottom